Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika semina vikundi vya akina mama wa Majohe (UVIMA) vilivyopo chini ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayosimamiwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete hiyo iliyofanyika Majehe leo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza na washiriki wa semina hiyo iliyofanyika Majohe Pugu jijini Dar es salaam leo Philomena Marijani Meneja Uragibishi kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo.
Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI