AJALI: RAIS MALINZI AWAFARIJI RUVU SHOOTING
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko taarifa za kupata ajali kwa msafara wa timu ya Ruvu Shooting FC iliyotokea leo barabara ya Manyoni mkoani Singida wakati kikosi...
View ArticlePONGEZI UONGOZI MPYA SIREFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ametuma salamu za pongezi kwa uongozi mpya wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Singida ulioingia madaraka jana Mei 20, 2017.Mbunge wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASAINI TAMKO LA PAMOJA LA...
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakitia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la...
View ArticleTUZO ZA LIGI KUU 2016/17
SHEREHE za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inatarajiwa kufanyika Mei 24 mwaka huu ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.Kamati Maalum iliyoundwa kusimamia tuzo hiyo imefanya...
View ArticleMkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella mgeni rsmi katika maulidi ya Mtume...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuendeleza Quraan na Sunna Tanzania (JAQUSUTA) Sheikh Hassan Kabeke (kushoto aliyesimama) akizungumza kwenye Maulid iliyofanyika jijini Mwanza juzi. Waliokaa kushoto ni Katibu...
View ArticleMWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA...
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na...
View ArticleTHE DESK& CHAIR FOUNDATION YASAIDIA WALEMAVU MKOANI MWANZA
TAASISI isiyo ya kiserikali ya The Desk & Chair Foundation (TD&CF) tawi la Tanzania imekabidhi misaada ya baiskeli za miguu mitatu (wheel chair) na visaidizi kwa watu mbalimbali wenye ulemavu...
View ArticleDKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE
Na Is-haka Omar, ZanzibarNAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi” amesema atalinda na kusimamia kikamilifu mali na miradi mbali mbali inayomilikiwa na chama hicho ili...
View ArticleDC MUFINDI ASISITIZA MPANGO WA CHAKULA CHA MCHANA KWA WANAFUNZI.
Na Ofisa Habari Mufindi Serikali Wilayani Mufindi Imewataka wajumbe wa kamati za Shule na viongozi wa Serikali za vijiji kwa kushirikiana na wazazi, kutekeleza mpango wa utoaji chakula cha mchana kwa...
View ArticleMkutano wa Sheikh Shariff Majini mjini Dodoma
Sehemu ya umati uliohudhuria katika Mkutano wa Sheikh shariff Majini katika ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo jirani na chuo cha CBE mjini Dodoma wikiendi hii Sheikh Shariff Majini akiendesha mkutano...
View ArticleSIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa Abdallah Bulembo, amemsimamisha kazi katibu msaidizi wa CCM wilayani Mbulu kutokana na ubadhirifu wa fedha; https://youtu.be/5Cdji3IKmOUSIMU.TV: Mkoa wa...
View ArticleWADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao iliyofanyika Jumamosi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA MIMI NA WEWE MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar za kusaidia wananchi wanaokabiliwa na hali duni ya...
View Articleshamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
Wakulima wa mahindi katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa pamoja na Bwana Shamba wa Yara Tanzania Ltd, Andrew Ndundulu (kati-chini) katika picha ya pamoja baada ya mafunzo ya matumizi bora ya mbolea...
View ArticleWAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA SOKO LA SAMAKI LA...
Meneja Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (mwenye kofia nyeusi kulia) na Meneja Mwajiri Zantel, Frank Jackson (mwenye kofia nyeusi kushoto) wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa...
View ArticleBODI YA (AQRB) YAWAPA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MAJANI YA CHAI...
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) , Dkt6543W2 Geraldine Kikwasi akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai...
View ArticleWANTED: COMMISSION SALES REPRESENTATIVES
We are a group of companies currently looking to expand and now we are looking for Commission based sales representatives in Dar es salaam (30) all other regions 2.The ideal...
View ArticleKUKUA KWA UHALIFU MTANDAO
Na Yusuph KileoKumeendelea kukua kwa uhalifu mtandao maeneo mengi duniani – Huku baadhi wakitafsiri hili linatokana na wana usalama mtandao kuonekana kulemewa (Kuzidiwa) na wahalifu mtandao. Hili...
View Article