Diamond kumtambulisha msanii mpya wa WCB leo
Rais label ya WCB, Diamond Platnumz Jumatatu hii atamtambulisha msanii mpya wa label hiyo.Msanii huyo atakuwa msanii wa 5 kutoka ndani wa label hiyo ambayo ina wasanii 4 akiwemo Rich Mavoko, Harmonize,...
View ArticleWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATOA SEMINA KWA WABUNGE JUU YA UMUHIMU WA...
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhandisi Atashasta Ndetiye (kushoto) akizungumza wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii na...
View ArticleSHUKRANI
Bi. Vicky Joan Msina wa Benki Kuu Dar es Salaam, kwa niaba ya ndugu zake wote na familia za Msina, Lyimo, Kiiza na Mbuya wa Dar es Salaam, Kilema, Moshi, na Tabora; wanapenda kutoa shukrani za dhati...
View ArticleMashine za Discovery , Defender na Range Rover zinauzwa
Pia tunaweza kukupatiya Spare ya aina yoyote kutoka Europe kwa bei nafuu.Bei ya hiyo Land Rover Discocery Engine Td5 ni T.sh.4.7 Milion, tunaleta kutoka U.K. zipo Dar es Salaam kwa maelezo zaidi...
View ArticleTAFITI INAONYESHA SERIKALI INAPOTEZA MABILIONI KUTOKANA RUSHWA NA UFISADI...
Kamati ya Viongozi wa dini ya Masuala ya haki za Binadamu, Kiuchumi na uadilifu katika Uumbaji wakizindua Mapitio ya Ripoti ya Swali la Dola Bilioni moja ,Tanzania inaendelea kupoteza fedha kiasi gani?...
View ArticleHer Initiative yawakutanisha pamoja wasichana katika Tamasha la ujasiriamali,...
Her Initiative iliyojulikana hapo awali kama Teen Girls Supportive Initiative (TGSI) iliandaa mkutano ujulikanao kama Panda, uliowakutanisha pamoja wanafunzi wakike kutoka vyuo mbalimbali nchini pamoja...
View ArticleMV KAZI YAFANYIWA MAJARIBIO
Na Alfred Mgweno, TEMESA Kivuko cha MV KAZI hatimaye kimefanyiwa majaribio ya kubeba abiria na magari kwa mara ya kwanza baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Majaribio hayo yalifanyika kulingana...
View ArticleVodacom kumwaga zawadi kwa washindi ligi kuu
Na Mwandishi WetuWadhamini wa kuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa msimu wa...
View ArticleEmirates Offers Special Fare and Free Visa to Dubai for Tanzanian Travellers
Dar es Salaam, Tanzania, 22 May 2017 – Award-winning Emirates is offering travellers in Tanzania a limited time only fare of just USD399 for an Economy Class ticket to Dubai including a visa.The...
View ArticleVodacom kumwaga zawadi kwa washindi ligi kuu
Wadhamini wa kuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa msimu wa 2016/2017 siku ya...
View ArticleUJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAENDELEA MKOANI...
Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi hiyo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi karibuni mkoani...
View ArticleSERIKALI YATOLEA UFAFANUZI VIWANGO VYA RIBA KATIKA TAASISI ZA FEDHAWa
Naibu Waziri wa Fedha na MipangoDkt. Ashatu KijajiBenny Mwaipaja, WFM-DodomaSerikali imesema kuwa mabadiliko ya sekta ya fedha ya mwaka 1991 yalipelekea Serikali kujitoa katika uendeshaji wa moja kwa...
View ArticleNEEC, UN, HDIF wazindua mafunzo kwa wajasiriamali
Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Umoja wa Mataifa (UN) na shirika la Human Development Innovation Fund (HDIF) leo wameungana na kuzindua mafunzo ya aina tano za ujuzi kwa lengo la kuwawezesha vijana...
View ArticleTASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR KUTATHIMINI UTEKELEZAJI WA...
NA ESTOM SANGA-TASAF.Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF- na wadau wa maendeleo wameanza mkutano wa kutathimini utekelezaji wa shughuli za Mfuko huo kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kwa kipindi...
View ArticleMBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI
Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katika akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye Jimbo lake hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika...
View ArticleMANGULA AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA KIMAREKANI INAYOSHUGHULIKIA...
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Phili Mangula akikmkaribisha Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith...
View Article“SERIKALI KUSAMBAZA VIFUKO VYENYE VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNGULIA KWA WANAWAKE...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa inategemea kusambaza vifuko maalum vya kujifungulia vyenye vifaa vya...
View ArticleMAHAKAMA YAWAASA MAWAKILI KESI YA 'MALKIA WA MENO YA TEMBO'
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imewaasa mawakili wa upande wa utetezi katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo ya bilioni 5.4 inayomkabili Raia wa China maarufu kama 'malkia wa tembo' Feng Glan...
View Article