MAMIA YA WAKAZI WA KIGOMA WAJITOKEZA KUPATA MATIBABU YA MADAKTARI BINGWA.
Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kigoma.MAMIA ya wananchi wa mkoa Kigoma wamejitokeza katika kupata matibabu kutoka kwa madaktari bingwa katika mpango unaoratibiwa na Mfuko wa Taifa wa bima ya afya...
View ArticleTRA Yatoa siku 39 kodi ya majengo iwe imelipwa Mwanza
Na Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.Mamlaka ya mapato nchini imetoa muda hadi kufikia Juni 30, mwaka huu wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa kodi hiyo ilikuepuka kufikishwa...
View ArticleUHALIFU UNAOVUKA MIPAKA KUJADILIWA ARUSHA.
Na. Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Arusha.Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la wakuu wa Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) unatarajia kufanyika Jumatano Mei 24, 2017 mkoani Arusha chini...
View ArticleMTULE AMCOS WAJIPANGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB
Na mwandishi wetu, Zanzibar.Chama cha Ushirika cha Msingi cha Masoko cha Mtule (Mtule AMCOS) kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga na matunda kimeweka bayana nia yake ya kuchangamkia fursa za...
View ArticleWanawake na Vijana wapewe Zabuni – Dc Daqaro
Na Nteghenjwa Hosseah – ArushaMkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqaro amesema wanawake na vijana wanaokidhi vigezo wapewe Zabuni za Halmashauri ya Jiji ili kuweza kuwainua kiuchumi na kuboresha...
View ArticleDC UBUNGO MHE KISARE MAKORI AAGIZA KUJENGWA DARAJA LA MBEZI MSUMI
Na Nasri Bakari, Dar es salaamMkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori Leo Jumamosi, Mei 20, 2017 ameagiza kujengwa kwa daraja jipya kutokana na kuharibika kwa daraja la awali katika eneo la Msumi...
View ArticleMarriott International to Debut The Ritz-Carlton in the Zanzibar Archipelago
DUBAI, United Arab Emirates, May 22, 2017/ -- Marriott International (NASDAQ: MAR) (www.Marriott.com) today announced the signing of an agreement with Pennyroyal Gibraltar Limited, to debut The...
View ArticleWAKULIMA WA NDIMU BWEJUU, ZANZIBAR, WALILIA SOKO
Umoja wa Wakulima wa Ndimu wa Kikundi cha Juhudi Zetu kilichopo Bwejuu, mjini Unguja wametoa kilio chao cha kukosa soko la ndimu wanazozalisha kwa uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017. Waziri wa Mambo ya...
View ArticleCANDY IMAX KURUDISHA HADHI YA BONGO MOVIE
BAADA ya kuonekana hali ya kuashiria kupoteza mvuto kwenye tasnia ya filamu hapa Bongo, hatimaye Candyimax imekuja kwa kasi ya kurudisha hadhi ya filamu za hapa nchini na Afrika Mashariki kwa...
View ArticleHATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUACHWA NA NDEGE
Na Jumia Travel TanzaniaNi jambo la kawaida kuachwa na usafiri kama vile basi, boti, treni au ndege licha ya kufanya maandalizi ya kutosha. Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia mtu mpaka kuachwa na...
View Articlewateja wote wa Airtel money kaeni tayari kupokea gawio kwa kutumia Airtel money!
Mambo vipi! Mr. Money anarejesha gawio la Tshs billioni 3.1 kwa wateja wote wa Airtel money. Hivyo basi kaa tayari kupokea gawio lako kwa kutumia Airtel money. Endelea kutumia na kufurahia huduma za...
View ArticleMuchunguzi: Kuogopa kucheza Biko ni dalili ya kukaribisha umasikini
MSHINDI wa droo ya saba ya Sh Milioni 10 kutoka kwenye Bahati Nasibu ya Biko 'Ijue Nguvu ya Buku', Sospeter Muchunguzi, amekabidhiwa fedha zake huku akisema kuwa kuogopa kucheza Biko ni dalili ya...
View Article