MSAADA:NIMEFANYIWA UPASUAJI MARA TISA (9) LAKINI BADO,WATANZANIA NISAIDIENI.
HUU NI UJUMBE WA MWALIMU HUYO.HABARI KAKA-Kuna mwanafunzi wangu anaitwa Mariam Ibrahimu Mwema wa shule ya sekondari Kawe ukwamani kidato cha 4 mwenye umri wa miaka 16 tu ana matatizo makubwa ya tumbo....
View ArticleALIYEKUWA MKURUGENZI WA KURUGENZI YA FEDHA, UTAWALA NA MASOKO YA OFISI YA...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Fedha, Utawala na Masoko ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Stanley Mahembe akiwaaga wafanyakazi wa kurugenzi yake leo akielekea katika kituo chake kipya cha...
View ArticleUMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akihutubia maelfu ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Arusha zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani...
View ArticleRC TABORA APIGA MARUFUKU USAFISHAJI WA TUMBAKU NJE YA WILAYA
NI BAADA YA WAKULIMA 18 KUKAIDI AGIZO LA WAZIRI MKUU.· ATAKAYEKAMATWA TUMBAKU YAKE KUTAIFISHWA Na Tiganya Vincent RS-Tabora Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri amepiga marufuku...
View ArticleWAKUMBUSHWA KULIPA KODI YA MAJENGO MWISHO JUNI 30
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZAKAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere amewahamasisha wananchi wenye majengo katika Jiji la Mwanza kuhakikisha wanalipa kodi ya majengo kwa wakati...
View ArticleTIMUN YAAGIZWA KUANGALIA MUSTAKABALI WA DUNIA
Vijana kutoka mataifa mbalimbali waliokusanyika katika Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Baraza Kivuli la Vijana la Umoja wa Mataifa (TIMUN), mjini Arusha wametakiwa kuchambua masuala yaliyopo mbele yao kwa...
View ArticleOFISI YA CCM MKURANGA YAPOKEA VIFAA KUTOKA KWA MKE WA MBUNGE WA MKURANGA BI...
Mke wa Mbunge wa Mkuranga Bi Mariam Abdallah Kwa niaba ya mume wake Ndugu Abdallah Ulega akikabidhi vifaa vya ofisi,'Photocopy machine' na 'Rim papers' Kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CCM Mkuranga...
View ArticleBONANZA LA KWAYA ZA VIJANA KUTOKA SHARIKA MBALIMBALI ZA KANISA LA MORAVIAN...
Kikosi cha kwaya ya Usharika wa Mabibo (waliovaa jezi za Dark Blue) na kwaya ya Usharika wa Kinondoni (waliovaa jezi nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanzaMpira ukiwa unaendelea...
View ArticleDC MJEMA:MWENGE WA UHURU UTAKESHA MITAA YA KARIAKOO.
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Mkuu wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema amewaomba wananchi hasa wa wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 29 mwezi huu katika...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA YA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017.Kulia kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji,...
View ArticleNDINGA ZAKABIDHIWA RASMI KWA WASHINDI
Mstahiki meya wa Jiji la Dar es salaam Mheshimiwa Isaya Mwita Charles leo amekabidhi rasmi magari mawili aina ya Suzuki Carry maarufu kama (Kirikuu) kwa washindi wa shindano la shika ndinga...
View ArticleRAS TABORA AAGIZA JENGO LA UPASUAJI LA ZAHANATI YA ILOLANGURU WILAYANI UYUI...
Na Tiganya Vincent-RS-TaboraKatibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora kuhakikisha wanakarabati upya Jengo la utoaji wa huduma ya Upasuaji katika...
View ArticleWAAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE LEO AMEWASILISHA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/2018 leo mjini Dodoma. UNAWEZA KUSOMA HOTUBA...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CNMIF, BALOZI WA UFARANSA,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China National Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa...
View ArticleMAONI YA MDAU MAC TEMBA KUONDOKA KWA YUSUF MANJI NDANI YA YANGA SC..
Nenda Yusuf,Imetosha na ahsante sana,najua ni maamuzi magumu lakini naamini sasa ni wakati wa akili kubwa kufanya kazi kwa bidii na nina wakati wa kumrudisha kundini Dr Jonas Tiboroha na kuja kuongeza...
View ArticleMAOFISA UGANI WATAKIWA KUWA NA MASHAMBA YA MFANO
Na Dotto MwaibaleMAOFISA Ugani wametakiwa kuwa na mashamba ya mfano ili kutoa fursa kwa wakulima kujifunza masuala ya kilimo kutoka kwao.Mwito huo umetolewa na Mtaalamu wa magonjwa ya pamba kutoka...
View ArticleMKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO NDG JOHN L. KAYOMBO AFANYA KIKAO CHA MARIDHIANO...
Na Mathias Canal, Dar essalaamMkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Leo tarehe 23, Mei 2017 amefanya mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Usharika...
View Article