Kliniki ya Afya ya Akili kutolewa kupitia Hospitali zote za Rufaa nchini-...
Kliniki ya Afya ya Akili kutolewa kupitia Hospitali zote za Rufaa nchini- Dk.Kigwangalla Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dkt. Khamisi Kigwangalla...
View ArticleWachimbaji wadogo wa madini nchini watakiwa kuepuka ajali zisizo za lazima
Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa kuepuka ajali zisizo zalazima kwani tangu mwaka 2008 hadi Mei 2017 zimetokea ajali 125 kwenyemigodi yenye leseni na vifo ni 213.Ajali zilizotokea kwenye...
View ArticleGAG AITUNUKU HATI SAFI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serilkali nchini CAG ameitunuku hati safi ya hesabu na matumizi sahihi ya Fedha za Umma Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, baada ya kufanya ukaguzi na kujiridhisha na matumizi...
View ArticleBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA RC MAKONDA.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke, amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuongeza na kuimarisha Ushirikiano uliopo baina...
View ArticleMaziko ya Marehemu Mzee Taimur Saleh Juma unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipojumuika na Waislamu mbali mbali katika kumswalia Marehemu Mzee Taimur Saleh Juma katika Msikiti...
View ArticleMaisha ya jamii ya Wahadzabe wanaoishi upande wa Ziwa Eyasi
Wanaume wa jamii ya Kihadzabe wanaoishi kwenye pori la Myembe lililopo ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngogorongoro upande wa Ziwa Eyasi wakipanda mti wa mbuyu kurina asali. Kabila la Wahazabe ni moja...
View ArticleSERIKALI IMEKAMATA VYOMBO 2795 KATIKA KUZUIA UVUVI HARAMU.
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi katika kipindi cha mwaka 2010-2015 imekamata vyombo 2795,injini za Mitumbwi 118,magari 297 na pikipiki 33 kwa sababu...
View ArticleZURIEL'S ANNUAL DUSUSU AWARDS - 2017
It is possible you have heard or read about Zuriels annual DUSUSU Awards, which she presents to an African First Lady, whose work in the area of Girls Education in their countries exemplifies Zuriels...
View ArticleJAMES BOND AFARIKI DUNIA
Roger Moore, muigizaji marufu wa sinema aba za ujasusi za James Bond kati ya mwaka 1973 na 1985, amefaruiki dunia kwa ugonjwa wa saratani, kwa mujibu wa familia yake. Amefariki akiwa na umri wa miaka...
View ArticleTimu ya Azania yawasili nchini baada ya kushiriki kwenye mashindano ya...
Mashindano ya kombe la Standard Chartered yaliyokuwa yanafanyika nchini Uingereza yamemalizika na kombe hilo kutwaliwa na timu ya nchini Singapore. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
View ArticleCHATO WATAKIWA KUCHANGAMKIA KILIMO CHA MIHOGO CHENYE TIJA ILI KUINGIA KATIKA...
Na Dotto Mwaibale, ChatoMAOFISA Ugani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita wameombwa kuwa weredi zaidi katika masuala ya kilimo ili elimu waliyonayo waweze kuitoa kwa wakulima ili nao waweze...
View ArticleWASICHANA 8000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UNESCO WA ELIMU
Wasichana 8,000 waliopo shuleni na 600 ambao hawako shuleni watanufaika na mradi mkubwa wa kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kupata elimu. Mradi huo wa miaka minne wenye gharama ya dola za...
View ArticlePROF. MBARAWA AITAKA BODI YA DMI KUBORESHA MIUNDOMBINU
Serikali imeitaka Bodi ya Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kuhakikisha inaboresha miundombinu ya chuo na kuzingatia miiko na kanuni za ufundishaji ili wanafunzi wanaohitimu chuoni hapo waweze...
View ArticleBancABC wins best emerging Bank in Tanzania
BancABC has been announced as the Best Emerging Bank in Tanzania for the year 2017. The bank won the award during The Banker Africa – East Africa Awards 2017 which were held in Nairobi last...
View ArticleOFISI YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI QATAR YAZINDULIWA RASMI
Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar yazinduliwa rasmi.Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar zilizinduliwa rams tarehe 19 Mei 2017. Shughuli za ufunguzi ziliongozwa na Mhe. Fatma Mohammed...
View ArticleWaziri Mahiga Aongoza Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC nchini Lesotho
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, amezihimiza taasisi za Serikali na za dini nchini Lesotho kudumisha amani na usalama kwenye kipindi cha...
View Article