Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao iliyofanyika Jumamosi katika ukumbi wa Tausi uliopo Kiluvya kata ya Kisarawe mkoani Pwani.
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakipewa mikono ya pongezi
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakipongezwa
Maharusi katika picha ya pamoja na wazazi na ndugu wa karibu
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba na Mama mdogo Zamaradi Kawawa
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba na mama wakubwa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA