SIMU.TV: Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa Abdallah Bulembo, amemsimamisha kazi katibu msaidizi wa CCM wilayani Mbulu kutokana na ubadhirifu wa fedha; https://youtu.be/5Cdji3IKmOU
SIMU.TV: Mkoa wa Kagera umeanza kuchukua tahadhari kujikinga na ugonjwa hatari wa Ebola ambao umeanza kushambulia maeneo kadhaa nchini Congo DRC; https://youtu.be/IxVGRPd_Q18
SIMU.TV: Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo, macho na masikio wamewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo kwa wakazi wa mkoa huo; https://youtu.be/Zu3nPcQe_Mc
SIMU.TV: Mwenge wa uhuru umekamilisha mbio zake mkoani Mtwara kwa kufungua miradi kadhaa yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 10; https://youtu.be/AhD1kK-USRM
SIMU.TV: Baadhi ya wakulima wa zao la Tumbaku mkoani Tabora wameiomba serikali kuingilia kati tabia ya baadhi ya watumishi wa vyama vya msingi kuwabambikia madeni; https://youtu.be/4xyTkr1yWvM
SIMU.TV: Fahamu serikali ya Tanzania ilichoahidi kukifanya kwa wakazi wa kanda ya ziwa katika kumbukumbu ya vifo vya mamia ya watanzania kwenye ajali ya Mv Bukoba; https://youtu.be/UTdvPLf-nDM
SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys inashuka dimbani usiku huu kuvaana na timu ya taifa ya vijana ya Niger kuwania nafasi ya kucheza nusu fainali; https://youtu.be/YAOM5WC6UDE
SIMU.TV: Tazama sehemu ya mapokezi waliyoyapata timu ya soka ya Yanga walipowasili jijini Dar Es salaam wakitokea mkoani Mwanza; https://youtu.be/MQQ_OB9SQrU
SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dkt Alli Shein amezindua rasmi kampeni ya kuchangia fedha kwa lengo la kufufua michezo mashuleni visiwani humo; https://youtu.be/TwqRifhTIxM
SIMU.TV: Timu ya Azania ya Tanzania itashuka dimbani usiku huu katika uwanja wa Liverpool nchini Uingereza kuwania kombe la Standard Chartered; https://youtu.be/PHklpeoVOw8