WAFANYABIASHARA WAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA CHA WAATHIRIKA WA MAAFA YA UPEPO...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na wafanyabishara katika hafla ya Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo...
View ArticleWachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali nchini kufanya mdahalo wa...
Wachimbaji wadogo wa madini, wachuuzi na madalali wa madini nchini wanatarajia kufanya mdahalo wa kitaifa juu ya umuhimu wa sekta ya madini na namna ya kuwanufaisha zaidi.Mkurugenzi wa shirika la Haki...
View ArticleAFITI ;SERIKALI INAPOTEZA MABILIONI KUTOKANA RUSHWA NA UFISADI KWENYE BAJET
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii DodomaTafiti mpya iliyozinduliwa leo inasema serikali inapoteza fedha zaidi ya Sh trillion 4 kwa mwaka kutokana na misamaha na ukwepaji wa kodi.Pia repoti inasema...
View ArticleRC GAMBO AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KWA AJILI YA KUNYWESHEA MIFUGO NA...
Mkuu wa mkoa Mhe. Mrisho Gambo mapema leo amezindua mradi mkubwa wa maji wa maji kwaajili ya kunyweshea mifugo(cattle trough) na matumizi ya binadamu katika kata ya Ndepes wilayani Ngorongoro.Mradi huo...
View ArticleMtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (Mviwata) walalamikia ushuru wa mazao
Mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania (Mviwata), umelalamikia tozo, ushuru wa masoko na tozo za kusafirisha kwa gunia badala ya kutozwa kwa uzito, kwani hujenga mazingira shawishi kwa wanunuzi na...
View ArticleTGNP MTANDAO YAWAPONGEZA WASICHANA WALIOFANYA VIZURI KATIKA VYUO MBALIMBALI...
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.TGNP Mtandao imesema kuwa changamoto inayowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ni rushwa ya ngono.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa...
View ArticleNafasi za masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya ngazi za Cheti na Diploma katika kampasi za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya katika kozi zifuatazo:Uhasibu...
View ArticleRais Dkt. Magufuli akabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Rais...
Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umefikia tamati katika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam, ukiwa umehudhuriwa na ujumbe kutoka nchi zote...
View ArticleWANAHISA WA BENKI YA CRDB WAPIGWA MSASA JIJINI ARUSHA LEO
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha...
View ArticleTADB: “ATAKAYE NA AJE KUKOPA”
Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) imewahakikisha kuwapatia mikopo wakulima wa Zao la Karafuu visiwani Zanzibar katika kuhakikisha inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta Mapinduzi...
View ArticleWANAWAKE 18 WAHITIMU MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI MADINI
Na Veronica Simba - ArushaJumla ya wanawake 18 kutoka mikoa mbalimbali nchini, jana (Mei 19, 2017) wamehitimu mafunzo ya ukataji na ung'arishaji madini ya vito katika Kituo cha Jemolojia Tanzania...
View ArticleMAHAFALI YA 29 YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI YA AL HARAMAIN JIJINI...
Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu Nuh Jabir, akisoma taarifa ya shule kwa Mgeni rasmi katika mahafali hayo ya 29 ya kidato cha Sita, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...
View ArticleSospeter Muchunguzi naye azoa mkwanja wa Biko
DROO ya saba ya mchezo wa Kubahatisha wa Biko, Ijue Nguvu ya Buku imechezeshwa leo jijini Dar es Salaam, huku Sospeter Muchunguzi akifanikiwa kuibuka kidedea na kuzoa Sh Milioni 10.Mkazi huyo wa jiji...
View ArticlePPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO
Serikali imefurahishwa na na juhudi za Mfuko wa Pensheni PPF kwa kutoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya milioni 99,983,700 kwa hospitali 16 hapa nchini ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AONGOZA HAFLA YA UCHANGIAJI VIFAA VYA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na...
View ArticleUSHIRIKA WA WAUZA MADAGAA WA TUSIYUMBISHANE WAOMBA ‘JEKI’ YA TADB
Na mwandishi wetu, Zanzibar Chama cha Ushirika cha Wauza Madagaa cha Tusiyumbishane kilichopo eneo la Maruhubi mjini Unguja kimeiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuwasaidia katika...
View ArticleTEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MKAPA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es salaam Mei 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View Article