Je, wajua kuwa Mbolea ya YaraLiva NITRABOR huzuia mazao kuharibika kwa haraka?
YaraLIVA NITRABOR ni mbolea maalumu yenye Calcium inayoyeyuka pamoja na boron kwa ajili ya uchevushaji wa maua, kurefusha muda wa mazao kutokuharibika kwa haraka na huongeza ubora wa mazao ya...
View ArticleWakuu wa nchi za Afrika Mashariki kukutana kesho Dar
Na Immaculate Makilika- MAELEZO WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajia kufanya mazungumzo ya pamoja baina yao katika Mkutano wa kawaida wa 18 utakaofanyika kesho Mei 20 katika ukumbi...
View ArticleRC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA),...
View ArticleMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la...
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejenga uwezo zaidi wa kukabiliana na vitendo vya rushwa katika azma yake ya kujenga uchumi imara utakaostawisha Taifa kwa kuongeza Mapato kupitia Sekta ya Utalii...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU MAHUSUSI MJINI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makatibu Mahsusi nchini kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na waache tabia ya kutoa siri za ofisi zao kwani kufanya...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA RODRICK MPOGOLO AMALIZA KWA KISHINDO ZIARA YA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Matiku Makori, katika Ukumbi wa CCM Manzese, wakati wa ziara yake ya kuimarisha Chama kwa kuzungumza...
View ArticleMKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki...
View ArticleYANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii,Mwanza.Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika leo kwa timu ya Yanga kutawazwa ubingwa wa msimu wa 2016/17 ikiwa ni mara 27 toka ligi kuanzishwa.Yanga waliokuwa ugenini...
View ArticleMAKAMU WA RAIS KUZINDUA KAMPENI YA MIMI NA WEWE MJINI UNGUJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Unguja – Zanzibar akitokea mkoani Dodoma ambapo hapo kesho anatarajiwa kuzindua ya kampeni maalum inayojulikana...
View ArticlePPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO
Akielezea furaha hiyo wakati akipokea sehemu ya msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 6 kwa hospitali ya mkoa wa Morogoro, Naibu Katibu Mkuu ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
View ArticleMkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umefikia tamati leo Ikulu Jijini Dar es Salaa. Mkatano huu ulikuwa na ujumbe na uwakilishi kutoka nchi zote sita zinazounda...
View ArticleMTAMA WAIFAGILIA KAMPENI YA TGGA YA HEDHI SALAMA KWA WASICHANA
Na Richard Mwaikenda, Mtama.WALIMU na Wanafunzi Mkoa wa Lindi, wamefurahishwa na Kampeni ya Kitaifa ya Hedhi Salama kwa Wasichana iliyofanyika kwa uwazi katika Shule ya Sekondari Mtama.Kampeni hiyo...
View Article