YaraLIVA NITRABOR ni mbolea maalumu yenye Calcium inayoyeyuka pamoja na boron kwa ajili ya uchevushaji wa maua, kurefusha muda wa mazao kutokuharibika kwa haraka na huongeza ubora wa mazao ya mbogamboga na matunda.
Matumizi:
1. Weka gramu 145 kwenye bomba la lita 15
Zingatia:
· Pulizia kwenye majani na sio kwenye udongo
· Tafadhali wasiliana na bwana shamba wa kampuni ya Yara kwa maelekezo na mahitaji maalumu
Wasiliana na wataalamu wa Yara Tanzania Ltd kwa kupiga *149*50*31# BURE au +255 22 2112965/6