UNTOLD STORI YAWA GUMZO MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR ES SALAAM
Mhusika mkuu katika Mchezo wa Jukwaani wa 'UNTOLD SORY ' Amani Kipimo akiwa jukwaani katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini dar es Salaam. Sehemu ya Waigizaji wa mchezo wa kuigiza wa Untoldy...
View ArticleMAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA
Katibu Mkuu wizara ya Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Salum Maulid Salum, akizungumza kwenye ufungaji wa semina kwa wajasiriamali, juu ya mtangamano wa Afrika...
View ArticleTEA YAANZA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU.
Na Fatma Salum- MAELEZO.Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeanza rasmi utekelezaji wa mradi wa kukarabati Shule ya Sekondari Pugu iliyopo Jijini Dar es Salaam.Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi...
View ArticleMUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo mkubwa...
View ArticleWIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB
Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar imesema itakuwa ya mwanzo kuanza kutumia fursa za mikopo nafuu inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) ili kuchagiza uwekezaji...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUEPUKA KITAMBI NA UZITO ULIOKITHIRI
Na: Nuru Juma-MAELEZO.Daktari Mshauri kutoka Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) Dkt. Ali Mzige amewataka watanzania kuepuka uzito mkubwa na kitambi ili kufanya miili yao kukaa mbali na magonjwa...
View ArticleWANAHISA WA BENKI YA CRDB WAPIGWA MSASA, JIJINI ARUSHA LEO
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha...
View ArticleWafanyabiashara wa kemikali bashirifu waaswa kufuata sheria
Na Karama Kenyuko, Globu ya Jamii Wafanyabiashara wa kemikali Bashirifu wameaswa kufuata sheria za nchi Katika kudhibiti matumizi yasiyokuwa salama ya kemikali hizo. Hayo yamesemwa Leo na Mkemia Mkuu...
View ArticleMuhimbili: Upungufu wa Wauguzi Kushughulikiwa, Maslahi Kuboreshwa
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), umesema utaendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa hospitali hiyo na kushughulikia tatizo la upungufu wa wauguzi. Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali...
View ArticleZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam....
View ArticleTANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA
Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akimkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula...
View ArticleMkutano Mkuu wa Vijana Kimataifa Kufanyika Arusha kwa Siku 7
Mratibu wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa kwa Vijana Tanzania, Tajiel Urioh akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani) kuzungumzia Mkutano Mkuu Kivuli wa kimataifa wa Umoja...
View ArticleMAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu Tanzania ‘Free Style Football’ , Morison Jumanne (wakwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho ya kimataifa ya uchezaji wa...
View ArticleKampuni ya Techno Net Scientific Yakutwa na Kemikali Kinyume cha Sheria
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Kampuni ya Techno Net Scientific inayojishughulisha na uingizaji pamoja na uuzaji wa kemikali imekutwa na kemikali zilizoingizwa nchini kwa njia za udanganyifu kwa...
View ArticleTAIFA STARS MPYA HII HAPA
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania, Salum Mayanga (pichani) leo Ijumaa Machi 19, 2017 ametangaza majina ya wachezaji 24 watakaounda kikosi hicho cha Timu ya Taifa Stars ambacho sasa kinachodhaminiwa na...
View ArticleKampuni ya bia SBL, yazindua bia mpya ya Serengeti Premium Lite ya sh. 1500
Kampuni ya bia ya Serengeti Brewaries Ltd (SBL), imezindua bia mpya aina ya Lite, ikiwa ni muendelezo wa bia mama ya Serengeti Premium Lager. Akizungumza na waandishi wa Habari, wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleMkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam ACP Awadhi Haji aendelea kutoa elimu...
Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi Awadhi Haji ameendelea kutembeklea vituo mbalimbali vya Bajaji na Bodaboda jijijni katika juhudi za Jeshi la Polisi kupunguza kama si...
View ArticleWachimbaji madini wadogo wawili wapoteza maisha mgodini Iringa
Na MatukiodaimaBlog WACHIMBAJI wawili wadogo wa madini ya dhahabu katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa...
View Article