Mhusika mkuu katika Mchezo wa Jukwaani wa 'UNTOLD SORY ' Amani Kipimo akiwa jukwaani katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini dar es Salaam.
Sehemu ya Waigizaji wa mchezo wa kuigiza wa Untoldy Story wakiwa jukwaani wakati wa utambulishwaji wa mchezo huo
Msanii mkongwe wa Luninga na Jukwaani Susan Lewis akiwa na Mhusika mkuu wa mchezo wa Untold Story Amani Kipimo 'Ngasu'
sehemu ya watu waliofika kushuhudia mchezo huo wa Untold Story ambao ulibua hisia na kuwa gumzo kwa watu wengi sana.