SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KAZI YA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA...
Na Benny Mwaipaja, WFM-DodomaSerikali imeeleza kuwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haijawahi kumuhusisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
View ArticleMASHIRIKA YA KIMATIAFA YAOMBWA KUISAIDIA TANZANIA KUWAUNGANISHA RAIA WAPYA NA...
Na Tiganya Vincent-Kaliua18.5.2017Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiako wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashiriki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
View ArticleMkutano wa 34 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mkutano wa 34 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam umefikia tamati. Mkutano huu uliofanyika katika Hoteli ya Serena umehudhuriwa na...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yatoa elimu ya Mtangamano Pemba
Serikali ya Zanzibar imeahidi kuwa itaendelea na jitihada za kuimarisha huduma za kiuchumi kwa madhumuni ya kuweka mazingira mazuri ya kibiashara ili wananchi waweze kunufaika na fursa zinazopatikana...
View ArticleZANTEL YAZINDUA VIFURUSHI VYA BURE KWA MITANDAO YOTE YA KIJAMII ILI...
Kampuni ya simu inayoongoza kwa huduma za vifurushi vya intaneti, Zantel imeanzisha huduma mpya ya vifurushi vya bure kwa wateja wake ikiwalenga zaidi vijana, ambapo tafiti zinaonyesha ndio watumiaji...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA MPOGOLO AWAFUNDA VIONGOZI, WANACHAMA JIMBO LA...
Na Ripota wa Mafoto Blog, DarUBABE na unafiki wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) inaelezwa kuwa ndio chanzo cha kupoteza jimbo la Ukonga na mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam.Naibu Katibu...
View ArticleTANZANIA NA KOMORO ZAAHIDI KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO.
Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro, Mhe. Sylvester M. Mabumba mapema wiki hii alikabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Komoro Mhe. Azali Assoumani. Hafla...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WATAALAM WA MFUMO WA TAARIFA ZA...
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha pamoja baina ya wataalam kutoka Kampuni ya esri- inayojishughulisha na kutoa huduma za Mfumo wa...
View ArticleWakurugenzi waahidi kutekeleza kampeni ya maji 'Nipo Tayari'
Mratibu wa kampeni ya mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari Juliana Kitila akimuonyesha kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro Peter Nkaya ( wakanaza upande wa kushoto) hatua...
View ArticleKapondo: Mshiko wa Biko umekuja wakati nina uhitaji mkubwa wa pesa
MSHINDI wa Droo ya Bahati Nasibu ya Biko Ijue Nguvu ya Buku iliyochezeshwa juzi Jumatano, Stanley Kapondo, amekabidhiwa fedha zake jumla ya Sh Milioni 10, huku akisema kuwa pesa hizo zimekuja wakati...
View ArticleWASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA...
-- Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara jijini Dar es Salaam,kuhusu ujio wa Wasanii nyota saba kutoka nchini...
View ArticleTAMASHA LA MUZIKI WA INJILI LA KIMATAIFA KUFANYIKA JUMAPILI UPANGA JIJINI DAR
Tamasha la muziki wa injili lenye ubora wa kimataifa linatarajia kufanyika Jumapili,Mei 21 katika ukumbi wa Kanisa la City Christian Center (CCC Upanga mkabala na Mzumbe University Tamasha hili...
View ArticleSTAR TIMES YAINGIA UBIA NA TPB KUUZA LUNINGA ZA KIDIJITALI KWA MKOPO
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKampuni ya startimes imeingia ubia na benki ya TPB kwa lengo la kuwakopesha wateja televisheni za kidigitali kwa awamu kupitia mkopo ambao utamwezesha mteja kulipa mpaka...
View Article