--
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara jijini Dar es Salaam,kuhusu ujio wa Wasanii nyota saba kutoka nchini China na wapiga picha 100,ambao pia walitembelea Treni ya TAZARA na kujionea mambo mbalimbali yaliyokuwa yakinyika hapo.
Baadhi ya Wasanii hao Nyota wakiwasili katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam
aziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akizungumza wakati wa kuwakaribisha wasanii hao nyota kutoka nchini China
Muongoazaji wa filamu ya siri za familia akitoa Salamu za Wasanii hapa nchini
Wasanii hao Nyota wakiwa wameketi kwa pamoja wakati wa mkutano
Wasanii hao ikawakiwa katika kurekodi sehemu ya vipindi vitakavyorushwa katika cheneli za nchini China