Naibu Waziri Mavunde azindua Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
View ArticleSERENGETI BOYS NA GHANA ZATOSHANA NGUVU LEO TAIFA, ZAFUNGANA 2-2.
Beki wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Ghana (U17) , Yusif Abdulrazak akiondosha mpira mbele ya Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Vijana - Serengeti Boys, Yohana Mkomola, katika Mchezo wa kimataifa wa...
View ArticleTANZIA: PROFESA BINAGI AFARIKI DUNIA
Ni simanzi kubwa, baba yetu mdogo, Profesa Lloyd Manamba Binagi, amefariki dunia hii leo Jijini Dar es salaam.Taratibu za kuusafirisha mwili kwenda nyumbani Tarime zinafanyika. Pumzika kwa amani baba....
View ArticleSADC YALIPONGEZA BARAZA LA USALAMA LA UN KWA KUONGEZA MUDA KWA MISHENI YA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
View ArticleKikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na...
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Tanzania na Uganda ambao nchi zao zimetakiwa kushirikiana kwa pamoja kutumia rasilimali walizonazo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa pande zote mbili katika...
View ArticleSABABU ZA ANGUKO LA JUMUIYA ZA WATANZANIA UGHAIBUNI
Jumuiya ya waTanzania Rome- Italia Picha kwa hisani ya Tanzania Community Rome- ItalyNa Vijimambo BlogNatumaini wote hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya maisha yanayotukabili kila...
View ArticleJAJI KIONGOZI AWATAKA MAJAJI KUSHIRIKIANA KATIKA KUWAHUDUMIA WANANCHI
Na Lydia Churi-MAHAKAMA, ARUSHA Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Ferdinand Wambali amewataka Majaji wa Mahakama Kuu nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia Maadili, kuwa waaaminifu...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAT DKT SHEIN AKAGUA MIRADIYA MAENDELEO MKOA WA KASKAZINI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Crispin Prospher Mwombeki wa kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mecco wakati Rais...
View ArticleNEWS ALERT: kamishna jenerali wa uhamiaji afanya mabadiliko makubwa ya...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini Dr. Anna Peter Makakala amefanya mabadiliko makubwa ya Viongozi wa Uhamiaji wa Mikoa mbalimbali hapa nchini pamoja na kuwateua Wakuu Wapya wa mikoa kushika nyadhifa...
View ArticleUMOJA WA ULAYA WAIPATIA SERIKALI YA TANZANIA MSAADA WA BILIONI 490
Na Daudi Manongi - MAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imesaini msaada wa shilingi Bilioni 490 usiokuwa na masharti yeyote kutoka Umoja wa Ulaya ikiwa ni msaada wa kibajeti kwa kipindi...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA AFANYA ZIARA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAJILI...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Ndugu Andrew W. Massawe yuko mkoani Iringa kukagua maendeleo ya zoezi la Usajili na Utambuzi wa watu; ambapo pamoja na mambo mengine...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: MAOMBI KWA KAMISHNA WA ARDHI KUZUIA KUFANYIKA KWA TRANSFER...
Na Bashir YakubTransfer ni kubadilisha hati au leseni ya makazi kutoka jina la mmiliki wa awali kwenda kwa mmiliki mpya. Transfer inaweza kufanyika kutokana na mauzo, kupewa...
View Article