NDUGAI,TULIA WAMLILIA MBUNGE MAREHEMU MACHA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mhe. Elly Macha, uliotokea juzi katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu,...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Do.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili uwanja wa Karume Pemba leo kwa ziara ya kikazi Rais wa Zanzibar na...
View ArticleCHADEMA YAPATA PIGO MUHEZA BAADA YA MWENYEKITI WA WILAYA KUJIUNGA NA CCM
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha kuamua kutangaza kukihama chama hicho...
View ArticleWABUNGE WA TANZANIA WASHIRIKI MKUTANO WA 134 WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANIA...
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Mhe. James Ole Millya na mbunge wa viti maalum Zanzibar Mhe. Tauhida wakiwa kwenye mkutano wa 134 wa umoja wa mabunge duniani mjini Dhaka nchini...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAPITISHA BAJETI YA...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. William Lukuvi akisoma taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara katika mwaka wa fedha 2016/17 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa...
View ArticleRAIS MALINZI AZIPONGEZA TIMU ZA JKT OLJORO, MAWENZI NA TRANSIT CAMP
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi amezipa kongore timu za JKT Oljoro ya Arusha, Mawenzi ya Morogoro na Transit Camp ya Shinyanga kwa kufanikiwa kupanda daraja la...
View ArticleNI SERENGETI BOYS NA BLACK STARLETS KESHO UWANJA WA TAIFA
Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, kesho Jumatatu itapambana na Black Starlets ya Ghana kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa...
View ArticleWananchi shirikianeni na serikali ya awamu ya tano kuifanya Tanzania kuwa na...
Na: Genofeva Matemu – WHUSM, Katavi Wananchi wameombwa kuiunga mkono Serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. John Joseph Pombe Magufuli katika kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na...
View ArticleUKARABATI WA UWANJA WA BANDARI SEHEMU YA KUCHEZEA WAFIKIA ASILIMIA 80
Mmoja wa mafundi akiweka mabomba ya maji sawa hili aweze kumwagilia vizuri eneo la uwanja wa Bandari, Temeke, jijini Dar es salaam ambao umepandwa nyasi za kisasa kwa ajili ya mazoezi pamoja na...
View ArticleBAADA YA MAJI MAJI KUICHAPA TOTO AFRICAN 4 - 1 KOCHA WA MAJI MAJI AIBUKA NA...
Timu ya Maji Maji ( WANALIZOMBE) imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani kwa kuichapa Toto African Bao 4-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI uliopo mjini Songea, mkoani Ruvuma.
View ArticleHIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOPOTEZA MCHEZO WAKE DHIDI YA KAGERA SUGER HUKO BUKOBA
Mtanange ulipomalizika Kipa Kaseja alipewa zawadi na Mashabiki wa Kagera Sugar pamoja na Mkuu wa Wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo akikaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera.Na Faustine Ruta, BukobaTimu...
View ArticleWAWILI WANYAKUA PIKIPIKI SHINDANO LA SHIKA NDINGA LA EFM TEMEKE MWEMBE YANGA
Mshindi wa pikipiki katika shindanola Shika ndinga la EFM kwa wanawake kutoka wilaya ya Temeke ambaye aliondoka na pikipiki ya Sanmoto katika Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es salaam siku ya...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUIJUA HATI ORIGINAL KABLA HUJANUNUA...
Na Bashir Yakub. Ni wangapi wamefanyiwa utapeli katika harakati za kununua viwanja au nyumba. Ni wangapi wamepata hasara kubwa kutokana na michezo ya utapeli iliyotamalaki...
View ArticleMAMA MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA HAFLA YA KUMUAGA PAROKO WA PAROKIA YA...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Jumapili April 2, 2017 ameungana na waumini, ndugu jamaa na marafiki kumuaga Fr. Stephano Kaombwe, Paroko aliyekuwa anahudumu katika Parokia ya Oysterbay jijini Dar...
View ArticleCHUO CHA MICHEZO MALYA KUWA CHA MFANO
Serikali imesema itakuwa bega kwa bega na Chuo cha michezo Malya ili kuhakikisha chuo hicho kinakuwa kitovu cha kuzalisha walimu bora na wenye weledi katika masuala mazima ya michezo hapa nchini na...
View ArticleWazazi watakiwa kuwa waangalifu na watoto wao wanaosoma nje
Wazazi wametakiwa kuwa waangalifu wa watoto wao wanaosoma nje ili kuhakikisha wanasoma na kuhitimu vizuri kama inavyotakiwa. Akizungumza na wazazi ambao watoto wao wanasoma nje, Mkurugenzi wa kampuni...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA ELIMU KWA WAHARIRI WA HABARI ZA UCHUMI NA...
Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Joy Sawe akifungua semina ya utoaji elimu kuhusu Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015 kwa Wahariri wa Habari na baadhi ya...
View Article