Mshindi wa pikipiki katika shindanola Shika ndinga la EFM kwa wanawake kutoka wilaya ya Temeke ambaye aliondoka na pikipiki ya Sanmoto katika Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es salaam siku ya Jumapili.
Mshindi kwa wanaume washindano la Sjika ndinga, Abdallah Twaha akiangukia gari mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa pikipiki ya Sanmoto viwanja wa Mwembe Yanga, Temeke, jijini Dar es salaam.
Meneja wa EFM Radio Dennis Ssebo akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kwa washindi
Meneja Masoko wa kampuni ya Mosan ya hapa nchini Tanzania,Jakson Stephen akikabidhi pikipiki aina ya Sanmoto kwa washindi Pili Hassna na Abdalah Twaha mara baada ya kuibuka washindi katika shindano la Shika ndinga Wilaya ya Temeke liliandaliwa na EFM. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA