$ 0 0 Timu ya Maji Maji ( WANALIZOMBE) imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani kwa kuichapa Toto African Bao 4-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI uliopo mjini Songea, mkoani Ruvuma.