Rais Dkt Magufuli aapisha wajumbe wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga...
View ArticleKOCHA WA MAJI MAJI AHIDI USHINDI DHIDI YA TOTO AFRICA HAPO KESHO , ASEMA...
Kocha Msaidizi wa timu ya Maji Maji (Wanalizombe) , Habibu Kondo amewahakikishia wanachama wa Club ya Maji Maji na wadau wa soka mkoani Ruvuma kuwa timu hiyo haitashuka daraja , hivyo wawe na amani...
View ArticleUTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)
Kufuatia uteuzi wa Bibi Blandina S.J. Nyoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) tarehe 25/02/2017. Mhe. William V. Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwa...
View ArticleSOPHIA MJEMA KIPANDA MTI KILELE CHA SIKU YA UPANDAJI ILALA LEO
Msongola, Dar es Salaam.MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amewataka watendaji wa Manispaa kuhakikisha wanazuia shughuli za kibinadamu ikiwemo ujenzi na kilimo katika maeneo oevu ili kulinda...
View ArticleKISHAPU YAPONGEZA SHULE KUMI BORA KWENYE MTIHANI WA TAIFA 2016
Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamepongezwa kazi nzuri na kupata matokeo mazuri ya shule zao za msingi katika mtihani wa taifa wa mwaka jana. Pongezi hizo zilitolewa jana...
View ArticleKLABU YA KILIFM SPORTS CENTER YAZINDUA MBIO ZA KILIFM INTERNATIONAL HALF...
Mwenyekiti wa KILIFM Sports Center akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu KILIFM International Marathon yanayolenga kuzuia mauaji ya Albino, utunzaji wa mazingira na uoto wa asili pia...
View ArticleSEMINA YA VIONGOZI NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI LEO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi na Waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali katika Semina ya siku moja iliyofanyika leo...
View ArticleMAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA...
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Elizabeth Titus Munthali, wakati wa sherehe ya mahafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi...
View ArticleSERENGETI BOYS YAITANDIKA BURUNDI BAO 2-0 KAITABA MJINI BUKOBA LEO
Na Faustine Ruta, BukobaTimu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba imepoteza mchezo wake wa pili tena wa kirafiki baada ya kukubali kuchapwa bao 2-0 na Timu ya Serengeti...
View ArticleYANGA YATINGA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM KWA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI...
Beki wa Yanga, Deus Kaseke akijarimu kumdhibiti Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar "Sureboy", katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara, uliochezwa jioni ya leo kwenye dimba la Taifa, Jijini Dar es...
View ArticleWaziri Mkuu wa Ethiopia amaliza ziara nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akiagana na Waziri Mkuu wa Shirikisho la Kidemokrasia la Jamhuri ya Ethiopia, Mhe. Hailemariam Dessalegn mara baada ya...
View ArticleUZINDUZI WA WASATU LEO UINGEREZA KWA MUZIKI
Na Freddy Macha Jumuiya ya Wasanii wa Tanzania Uingereza (WASATU) leo inazinduka kwa onesho la muziki Northampton.Onesho hilo litajumuisha wanamuziki wakongwe wa Kitanzania wakiwemo Saidi Kanda ( na...
View ArticleRais Dkt Magufuli akutana na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Duniani Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara baada ya kuwasili...
View ArticleJE WEWE NI MIONGONI MWA WALIOSUBIRIA MWEZI APRILI KWA HAMU?
Na Jumia Travel TanzaniaKama kuna kitu ambacho wafanyakazi wengi wanapenda kusikia basi ni sikukuu au mapumziko. Kwani hupata fursa ya kutokwenda kazini, haimaanishi kwamba ni wavivu bali kutokana na...
View ArticleVijana wametakiwa kutumia sekta isiyo rasmi kujiajiri kwa maendeleo ya Taifa
Na: Genofeva Matemu – WHUSM, KataviVijana Mkoani Katavi wametakiwa kujitambua, kuchukua fursa na kuchangia maendeleo ya mkoa na taifa kwa kutumia malighafi zinazopatikana mkoani humo kuwekeza na kuacha...
View ArticleRC PWANI AAGIZWA APIGE KAMBI MIONO BAGAMOYO
*Waziri Mkuu amtaka amalize migogoro ya wakulima, wafugaji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Eng. Evarist Ndikilo apige kambi katika kata ya Miono wilayani Bagamoyo na...
View ArticleMVUA YAWAKOSESHA ZAIDI YA WANAFUNZI 150 VYUMBA VYA KUSOMEA SINGIDA
Na Jumbe Ismailly,Iramba Apr,02,2017 Maafa MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha kwa takribani nusu saa imeezua mapaa ya majengo ya shule ya sekondari New Kiomboi,iliyopo wilayani...
View Article