BALOZI WA UINGEREZA NCHINI BI. SARAH COOK AMTEMBELEA KAMISHNA JENERALI WA...
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cook Leo amemtembelea ofisini kwake Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya Bw. Rodgers William Siyanga na kufanya...
View ArticleDC MUHEZA: AHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA MASOMO YA SAYANSI KWA BIDII WILAYANI MUHEZA
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akitubia wananchi wa wilaya ya Muheza na wadau wa elimu katika maadhimisho ya ya Juma la Elimu wilayani Muheza kushoto ni Kaimu Afisa...
View ArticleDAKIKA 360 ZA REKODI AZAM FC VS YANGA LIGI KUU
MACHO ya wapenzi wengi wa soka nchini wikiendi hii yatakuwa kwenye viwanja viwili nchini, lakini asilimia kubwa wanausubiria kwa hamu mtanange wa aina yake kati ya wapinzani Azam FC na Yanga,...
View ArticleNAIBU BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI...
Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kulia), akizungumza katika Warsha ya siku moja kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu, ikiwa ni katika kuwahamasifa wanafunzi hao...
View ArticleTUNATAKA POINTI 3 ZA AZAM KESHO - NIYONZIMA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kuelekea kwenye mtanange wa Ligi Kuu Vodacom kati ya Yanga na Azam, Nahodha msaidizi wa timu ya Yanga kiungo mchezeshaji Haruna Niyonzima ameongelea mchezo huo...
View ArticleDAWASCO YAONDOA KERO YA MAJISAFI YA MIAKA 30 MANZESE MVULENI
Katika kuhakikisha kero ya Maji inakwisha kwenye maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (DAWASCO) limezindua vizimba 8 vya Majisafi katika mtaa...
View ArticleWAZIRI NDALICHAKO KUZINDUA MPANGO WA AFRIKACAN CAPACITY UNAOFADHILIWA NA...
Habari Picha na Imma Msumba. Waziri wa Elimu na Sayansi Prof. Joyce Ndalichako mapema leo asubuhi amewasili katika Chuo cha Sayansi na Tekinolojia Nelson Mandela Arusha kwa ajili ya Uzinduzi wa mpango...
View Articlempango wa kuboresha makazi yaliyojengwa kiholela Kimara jijini Dar es salaam
Katika mpango wa kuboresha makazi yaliyojengwa kiholela, Kimara imekuwa mojawapo wa maeneo yanayoendelea na zoezi la Urasimishaji. Kwa sasa hatua iliyofikiwa ni ya uwekaji wa barabara za...
View ArticleUPDATES: RATIBA ZA MSIBA WA PROF. PHILIP HIZA
It is with great sadness, we announce the death of Prof. Philip Robert Hiza, of Makongo Juu, which occurred on Monday, March 27, 2017, at the Muhimbili National Hospital , Dar es Salaam. During this...
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ALIYEWASILI...
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake ,Waziri Mkuu wa Ethiopia ,Hailemariam Dessalegn,aliyewasili hivi punde katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar Es Salaam....
View ArticleBOKO BEACH VETERANS YAISAMBARATISHA GYMKANA VETERANS KWA BAO 3-1
Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) imefanikiwa kuwasambaratisha Veterans wa Gymkana kwa ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa jana jioni katika viwanja vya Gymkana, jijini Dar es...
View ArticleBalozi wa Italia Nchini Tanzania afanya ziara Kisiwani Mafia
Mbunge wa Jimbo la Mafia, Mbaraka Dau (kulia) akimuleza jambo, Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni wakati alipotembelea bandari ya Kilindoni, iliyopo katika Kisiwa cha Mafia Mkoani Pwani....
View ArticleShirika la Meli la Ethiopia kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, TPAWaziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ethiopia, Mhe. Hailemariam Desalegn amesema Shirika la Meli la Ethiopia (Ethiopian Shipping Line) lipo tayari kuanza...
View ArticleTIB corporate bank yachangia shilingi milioni 15.3 kwa mkoa wa katavi
TIB corporate bank katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi leo imechangia Shilingi milioni 15.3 kwa mkoa wa Katavi kusaidia mkoa huu mpya kukabiliana na changamoto mbali mbali ikiwamo miundo...
View ArticleInjini za Discovery, Defender na Range Rover zinauzwa Dar es salaam
Tunauza injini za Land Rover Discovery, Defender na Range Rover. Pia tunaweza kukupatia Spea ya aina yoyote kutoka Europe kwa bei nafuu. Bei ya hiyo Land Rover Discovery Engine Td5 ni Tshs 4.7 Milion,...
View Article