TIB corporate bank katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi leo imechangia Shilingi milioni 15.3 kwa mkoa wa Katavi kusaidia mkoa huu mpya kukabiliana na changamoto mbali mbali ikiwamo miundo mbinu. Pichani wakikabidhi hundi hio kwa Mkuu wa mkoa Katavi Maj Gen Raphael Muhuga ni Mkurugenzi Mkuu wa TIB corporate bank Bw Frank Nyabundege na mkuu wa kitengo cha masoko na mahusiano Bi.Theresia Soka
Picha ya pamoja baada ya hafla hiyo fupi.