Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea Zanzibar...
Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja.Kwenye uwanja wa ndege...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, YAANZA KUPITIA...
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati...
View ArticleHARUSI YA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WA LAKE FM MWANZA.
Jumapili March 26,2017 ilikuwa siku muhimu kwa mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwanablogu wa BMG, George Binagi wa Tarime Mara pamoja na Miss Upendo Kisaka wa Moshi Kilimanjaro baada ya kuuaga...
View ArticleFULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
Na Faustine Ruta, BukobaTimu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa kichapo cha bao 3-0 na Timu ya Vijana maarufu kwa jina la Serengeti...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AHANI MSIBA WA SIR GEORGE KAHAMA JIJINI DAR...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa pole Mama Janeth Kahama, Mjane wa mwanasiasa mkongwe na Waziri wa Kwanza wa Ushirika na Masoko katika Baraza la Mawaziri chini ya Serikali ya Madaraka na...
View ArticleSERIKALI HAITAVUMILIA WAKANDARASI WAZEMBE - WAZIRI MKUU
*Amtaka Waziri wa Maji avunje mkataba ifikapo Mei 31*Ni mkandarasi aliyenyang’anywa pasipoti na Rais MagufuliWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na...
View ArticleHali ya Mzee Haji Gora Haji mtunzi wa ‘Mpewa Hapokonyeki’ ilivyo sasa...
Na Salum Vuai, MAELEZO - ZanzibarJUMATATU ya tarehe 27 Machi, 2017, niliamua kuakhirisha mambo yangu mengine yaliyokuwemo kwenye ratiba yangu na kuamua kufunga safari hadi mtaa wa Chumbuni, Wilaya ya...
View ArticleWASANII MSIVUKE MIPAKA KATIKA UTENGENEZAJI WA KAZI ZENU KWA KUVUNJA SHERIA ZA...
Na Raymond Mushumbusi WHUSM DodomaWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa wasanii nchini kutovuka mipaka katika utengenezaji wa kazi zao mpaka kufikia...
View ArticleACACIA should be more transparent to Tanzanians
A stop order issued by Tanzania Government on March 3rd 2017 barring mining companies to export copper concentrates for smelting outside the country has significantly exposed Acacia, which exports the...
View ArticleWanawake, vijana tegemeo katika kumaliza machafuko nchini Somalia
Wanawake na vijana ni nyenzo muhimu katika uhamasishaji wa kumaliza machafuko yanayoendelea nchini Somalia, wakati kundi hilo pia likilengwa zaidi na vikundi vya kigaidi kutumika katika matukio ya...
View ArticleMIEZI MINNE BAADA YA UZINDUZI WA NDEGE MBILI ZA ATCL (BOMBARDIER), WAKUSANYA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la ATCL, Bw. Lasislaus Matindi anasema wamefanikiwa kukusanya Shilingi Bilioni 9 kwa Miezi minne tu kwa kutumia ndege hizo mbili zilizonunuliwa na Rais Dkt. John...
View ArticleMAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO
Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dr. Moses Kusiluka akiongoza maandamano na viongozi wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, pamoja na Mkuu wa Chuo cha Ardhi –...
View Articlehuduma ya M-Pesa yarahisishwa zaidi, Ni kutokana na kuboreshwa zaidi kwa...
Wateja wa mtandao wa mawasiliano wa Vodacom Tanzania Plc, kuanzia leo wataanza kunufaika na programu mpya na ya kisasa zaidi katika kufanya miamala yao kupitia huduma ya M-Pesa ambayo itawezesha...
View ArticleWatumishi Wa OSHA Wapewa Changamoto
Mabadiliko ya mazingira ya ufanyaji biashara yanayoletwa na maendeleo ya uchumi wa viwanda pamoja na mnyororo wa thamani, yameelezwa kuwa changamoto kubwa katika jitihada za kuimarisha hali ya usalama...
View ArticleTAARIFA KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM)
Tunawashukurukwa kupokea wito wetu na kuja, karibuni sana tunawaahidi kwamba tutaendelea kushirikiana nanyi katika kila hatua. Aidha Umoja wa Vijana wa CCM unavipongeza sana vyombo vyote vya habari...
View ArticleKAMATI YA KUKABILIANA NA KIPINDUPINDU YAKUTANA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA...
Na Khadija Khamis –Maelezo Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dkt Fadhil Moh’d Abdalla ameitaka jamii kubadili tabia kwa kuweka mazingira yaliyowazunguka safi na kuhakikisha wanatumia maji safi na...
View Article