RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA juu ya mradi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha pamoja cha Mawaziri wa Serikali za Tanzania na Uganda pamoja na wadau kuzungumzia mradi wa ujenzi wa Bomba la...
View ArticleDEATH ANNOUNCEMENT: Prof. Philip Robert Hiza
It is with great sadness, we announce the death of Prof. Philip Robert Hiza, of Makongo Juu, which occurred on Monday, March 27, 2017, at Muhimbili Medical Centre.The deceased's body will be moved to...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA...
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na Waziri, Naibu Waziri na watendaji wakuu wa Wizara na Taasisi zilizo chini yaWizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakijadili Bajeti ya...
View ArticleNaibu Waziri Wa Mambo Ya Nje Apokea Nakala Za Utambulisho Za Mabalozi Wateule...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Kim Doanh. Tukio hilo...
View ArticleJPM APONGEZWA KUIWEZESHA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE
Frank Mvungi-Maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepongezwa kwa kuiwezeshaTaasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kufanya upasuaji wa kihistoria tangu kuanzishwa kwake....
View ArticleWAZIRI MKUU AWASHAWISHI WAWEKEZAJI KUTOKA MAURITIUS KUWEKEZA NCHINI,Awataka...
SERIKALI imepanga kuondoka katika uchumi wa chini na kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 ambapo katika kufikia azma hiyo imeweka juhudi kwenye uanzishwaji wa viwanda mbalimbali kuanzia vidogo hadi...
View ArticleWATANZANIA WAASWA KUJITOLEA KUCHANGIA DAMU
Frank Mvungi-Maelezo Watanzania wametakiwa kujitolea kuchangaia Damu ili kuwasaidia wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo wanaohitaji kuongezewa damu wakati wa kupatiwa mat ibabu. Kauli hiyo imetolewa...
View ArticleChama cha Mchezo wa “Baseball/Softball” Tanzania – TaBSA kutoa kombe siku ya...
Umoja wa Mataifa (UN) pamoja na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa(IOC) kwa pamoja mnamo tarehe 23 Agosti, 2013 walitiliana saini na kukubaliana kuanzishwa rasmi kwa tarehe 6 April ya kila Mwaka iwe ni...
View ArticleCITY FM RADIO 91.1 ya Dar-es-Salaam Yapokea Muziki wa Ngoma Africa band aka...
Baada ya wadau wa muziki wa dansi kutaka kusikia mdundo wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inayongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja uchezwe...
View ArticleUJENZI WA KIWANDA CHA DAWA ZA BINADAMU CHA ZINGA PHARMACEUTICALS KUPUNGUZA...
SERIKALI imesema ujenzi wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Zinga Pharmaceuticals katika kitongoji cha Zinga mkoa wa Pwani utasaidia sana katima kupunguza gharama za ununuaji wa dawa kutoka nje ya...
View ArticleTPSF YAKUTANA NA WADAU WAKE KUJADILI MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA SOKO LA...
Na Bakari Madjeshi,Globu ya JamiiTaasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imekutana na wadau wake kujadili utekelezaji wa Soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Common Market Protocol 2010)...
View ArticleUONGOZI MPYA WA CHAMA CHA MAWAKILI TANGANYIKA (TLS) WAJITAMBULISHA KWA KAIMU...
Na Mary Gwera, MahakamaKAIMU Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma ameutaka Uongozi mpya wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuusoma na kuuelewa Mpango Mkakati wa miaka mitano wa Mahakama ya...
View Article