RC Makonda ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amefika mbele ya kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kufuatia wito wa Kamati hiyo kumtaka afike mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili za...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante ole Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na wakati waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma....
View ArticleKamati ya Bunge nchini Uganda yajifunza NHIF
KAMATI ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge ya Bunge la Jamhuri ya Uganda imetembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo mafao yanayotolewa na Mfuko kwa...
View ArticleWATUHUMIWA WA MAKONTEINA BANDARINI WAPANDISHWA KIZIMBAN
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Wafanyabiashara watatu akiwemo raia wa Zambia mmoja wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za uhujumi uchumi ikiwemo kusafirisha bidhaa kwa kifichoWashtakiwa hao ambao...
View ArticleTEMESA YAKABIDHIWA BOTI NNE ZA KISASA BAADA YA UJENZI WAKE KUKAMILIKA
Na Theresia Mwami – TEMESA Mwanza.Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Dkt. Mussa Iddi Mgwatu, leo amepokea boti nne zilizokuwa zikijengwa na kampuni ya Songoro Marine Boatyard ya...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA YAJIPANGA KUONDOSHA MLUNDIKANO WA MASHAURI
Na Mary Gwera, Mahakama. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mwanza imejipanga kuondoa Mashauri yote yenye umri zaidi ya miaka miwili yaliopo katika Kanda hiyo ili kuendana na azma ya Mahakama ya Tanzania ya...
View ArticleMPANGO AFUNGUA WARSHA YA MAENDELEO YA VIWANDA ILIYOANDALIWA NA REPOA
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza wakati wa uzinduzi wa Warsha ya umuhimu wa taasisi katika Maendeeo ya Viwanda nchini kwa watafiti iliyoandaliwa na taasisi ya REPOA Mkurugenzi...
View ArticleKIJANA WA KITANZNAIA ANAYEISHI UJERUMANI AJA NCHINI KUTOA MAFUNZO YA KUCHEZA
Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.Watanzania wenye vipaji wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza na wamewataka wajitokeze kwa wingi katika mafunzo ya kucheza yatakayoendeshwa na Mtanzania...
View ArticleMABALOZI WA NORWAY, SWEDEN WAPONGEZA MIRADI YA REA
Waahidi kuendelea kusaidia sekta ya nishati nchiniNa Veronica Simba – SingidaBalozi wa Norway nchini Tanzania, Hamme-Hanie Kaarstad na Balozi Katarina Rangnitly anayewakilisha Sweden hapa nchini,...
View ArticleLeo ni Kumbukumbu ya Kifo cha TX Moshi William wa Msondo Ngoma.
Na Hassan MatimbwaMarehemu TX Moshi alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya JUMATANO majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo makaburi ya Keko machungwa.Tarehe na siku ya kifo chake...
View ArticleBODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAFANYA KIKAO...
Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi akisoma taarifa ya Taasisi katika kikao cha kwanza cha Bodi hiyo...
View ArticleMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE. RAIS DKT. MAGUFULI AENDESHA KIKAO...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti...
View ArticleSERENGETI BOYS WAJIFUA TAYARI KUWAVAA BURUNDI LEO UWANJA WA KAITABA, BUKOBA
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya vijana wenye umri wa miaka 17 maarufu kwa jina la Serengeti Boys Leo Jamatano wamefanya mazoezi kujiweka tayari na mchezo wao wa kesho na Timu ya U17 ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA KLABU YA SIMBA, GEOFREY NYANGE KABURU AZINDUA TAWI LA SIMBA...
Picha na habari na Faustine RuttaMakamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Ndg. Geofrey Nyange Kaburu(wa pili) kutoka kushoto akiwa na Viongozi wa Tawi la Kichwabuta lililozinduliwa jana kwa shangwe na...
View Article