Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi akisoma taarifa ya Taasisi katika kikao cha kwanza cha Bodi hiyo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof. William Mahalu.
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia taarifa ya Taasisi hiyo iliyokuwa ikisomwa na Katibu ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi katika kikao cha kwanza cha Bodi kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof. William Mahalu akiongoza kikao cha kwanza cha bodi hiyo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Anna Nkinda wa JKCI