KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI YATEMBELEA WALENGWA WA TASAF...
NA ESTOM SANGA-TASAFWajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wametembelea kijiji cha Mlanda wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa kukagua shughuli zinazotekelezwa na Mfuko...
View ArticleKIGOMA YANUFAIKA NA TAASISI YA MKAPA
Mkoa wa Kigoma umenufaika na nyumba mpya 30 za watumishi wa Afya pamoja na vitendea kazi (baiskeli 200, mabegi 225, mabuti 25 na makoti ya mvua 25) kwa ajili ya wahudumu wa Afya ngazi ya jamii vikiwa...
View ArticleSERIKALI KUTENGENEZA MWONGOZO WA KUWARUDISHA SHULE WALIOPATA MIMBA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Serikali imejipanga kutengeneza mwongozo wa kuwarudisha shuleni wanafunzi waliopata mimba wakiwa masomoni ili kuhakikisha wanapata elimu hadi kufikia ngazi za juu.Hayo...
View ArticleDIWANI VINGUNGUTI AJUMUIKA KUSAMBAZA KIFUSI MTAA WA MTAKUJA
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamoto akishiriki kusambaza kifusi katika barabara ya Mtakuja mara baada ya eneo hilo kuwa korofi kutokana na kuwepo kwa mashimo...
View ArticleMAAFISA MAENDELEO YA JAMII WA MIKOA WAJENGEWA WELEDI KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI...
Na erasto ching’oro- Msemaji: Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imefungua kikao cha siku mbili cha Maafisa...
View ArticleWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA PROF PALAMAGAMBA KABUDI AWASILI OFISINI MJINI DODOMA
Waziri wa Katiba na Sheria Prof.Palamagamba Kabudi amewasili katika Ofisi za Makao makuu ya Wizara zilizoko ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma na kulakiwa na watumishi wa Wizara walioko makao makuu ya...
View ArticleWACHIMBAJI WADOGO WAMUOMBA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUACHIA MCHANGA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWachimbaji wadogo wa madini wamemuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwaachia mchanga wa madini uliozuiwa bandarini ,kutokana na kuwepo kwa mchanga katika bandari kavu...
View ArticleKampuni za ujenzi kutoka China zaaswa kushirikana
KAMPUNI za ujenzi nchini zimeshauriwa kuungana na kushirikiana na kampuni za ujenzi kutoka China ili kujifunza namna wanavyofanya kazi kwa ufanisi.Akizungumza ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana,...
View Articlemakamishna wapya wa uhamiaji waapishwa leo mjini dodoma
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala ,akimvisha cheo kipya Kamishna wa Uhamiaji Utawala na Fedha, Edward Peter Chogero katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa...
View ArticleWaziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi awasili ofisini kwake...
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe....
View ArticleTAIFA STARS YAITANDIKA BURUNDI BAO 2-1 TAIFA LEO
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars' imefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Burundi kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika...
View ArticleMAHAKAMA YASHAURIWA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WAKE WA NGAZI ZOTE
Na Lydia ChuriMahakama, TangaMahakama ya Tanzania imeshauriwa kuwa na Mpango endelevu wa kuwajengea uwezo watumishi wake wa ngazi zote ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.Jaji Mfawidhi wa Mahakama...
View ArticleMHE. NAPE MOSES NNAUYE AKABIDHI RASMI OFISI KWA WAZIRI MWAKYEMBE
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Nape Moses Nnauye wakitia saini hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AONGEA NA WALIMU WAKUU WA SKULI ZA SEKONDARI UNGUJA LEO
Baadhi ya Walimu wa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Mkutano na Walimu wa Skuli za Sekondari za Mikoa...
View Articleuzinduzi wa Kitaifa wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) , Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri uliofanyika...
View ArticleNeema Wambura Amshukuru Rais Magufuli, Awapongeza Madaktari na Wauguzi
Na John Stephen, MNHMgonjwa Neema Wambura ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amemshukuru Rais John Pombe Magufuli baada ya afya yake kuimarika na kuruhusiwa leo...
View ArticleMWENDO KASI LAPARAMIA TAA ZA BARABARANI LEO
Basi la mwendo kasi asubuhi ya leo, limeacha njia na kugonga taa za magari barabarani katika eneo la Fire, Kariakoo. chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika.
View Article