MTANZANIA AFUNGUA DUKA LA NGUO ZA KITANZANIA MJINI GOLDSBORO NORTH CAROLINA...
Mtanzania Lilian Danieli mwenye kampuni yake ya NASHONA amefungua duka la nguo za Kitanzania Goldsboro jimbo la North Carolina nchini Marekani. Uzinduzi wa duka hilo ambalo lipo Center Street katikati...
View ArticleRais wa Zanzibar Dkt Shein akutana na Madaktari Bingwa wa Upasuaji Kichwa na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu,Uti wa Mgomgo na Vichwa...
View ArticleTAARAB YA RASMI YA KUMPONGEZA DK.SHEIN KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA URAIS
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi),Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Mhe,Borafya Silima...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AHIMIZA UADILIFU POLISI
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba amewataka maofisa na askari Polisi kote nchini kuendelea kufanya kazi kwa uadilifu ili kujenga taswira nzuri kwa...
View ArticleIN LOVING MEMORY
Dr Henry C. M Nyamubi Born 12 Feb 1958Died 28 March 2014Seconds become hours, hours into days,days into weeks, week's into months, months into years... It is now two years since you were called by our...
View ArticleDC Gondwe apokea vifaa vya Michezo toka Zizzou Fashion
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe akipokea sehemu ya vifaa vya michezo kutoka kwa Mdau Mkubwa wa Michezo nchini, Athuman Tippo maarufu kama Zizzou, kwa ajili ya kuhamasisha Michezo kwa vijana...
View ArticleNMB yafadhili mkutano wa Maofisa waandamizi Jeshi la Polisi Dodoma
. Mgeni Rasmi wa Mkutano Mkuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea mkoani Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Mh. Mwigulu Nchemba (katikati) pamoja na Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA TUME YA FARU JOHN
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa rasmi ya uchunguzi wa kifo cha Faru John kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Prof. Samwel Manyele ambaye alikuwa akiongoza tume maalum iliyoundwa na Waziri...
View ArticleCHOPPIES SUPERMARKET YATINGISHA DAR ES SALAAM KWA BIDHAA ZA BEI POA!
Bonge la supermarket jipya lipo katika jengo la kituo kikuu cha daladala cha Makumbusho jijini Dar es salaam ambako utapata BIDHAA KIBAO kwa bei poa kabisaaa kama vile Mikate, keki, biscuit...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Nakala ya Vitabu vya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni,...
View ArticleBREAKING: RAIS DKT MAGUFULI AAGIZA WIMBO WA "WAPO" WA MSANII NEY WA MITEGO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego (pichani) na wimbo wake...
View ArticleBASATA YAKABIDHI TUZO KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YA...
Mkurugenzi wa Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Vivian Shaluwa akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya ugawaji vyeti kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri katika mtihani...
View ArticleMafunzo Ya Ufungaji Migodi Yatolewa kwa Kamati Ya Kitaifa Ya Ufungaji Migodi.
Na Zuena Msuya DSM,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo amefungua mafunzo ya ufungaji wa migodi yanayotolewa kwa wataalam wa mbalimbali...
View ArticleWAJASIRIAMALI WAASWA KUZINGATIA VIPIMO SAHIHI ILI KUENDANA NA UCHUMI WA VIWANDA
Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiWakala wa Vipimo nchini imewaasa Wajasiriamali kuzingatia Vipimo sahihi katika upimaji wa bidhaa ili kuendana na Uchumi wa Viwanda na kufikia soko la Kimataifa kwa...
View ArticleSTAR TIMES YAZINDUA KAPU LA PASAKA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKampuni ya kuuza Ving’amuzi ya StarTimes Tanzania inatoa pakacha la pasaka kwa wateja wake ambapo kampuni hiyo imetangaza kuwa kuanzia tarehe 16 Machi 2017 wateja...
View ArticleRATIBA YA ASFC YAPANGWA - YANGA KUMENYANA NA PRISONS APRILI 22, 2017
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiShirikisho la Mpira wa Miguu Nchini limetoa ratiba ya michezo miwili ya Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federations Cup (ASFC) kwa timu za Yanga na Azam...
View Article