PROFESA MWANDOSYA AENDELEA KUTANGAZA KIVUTIO CHA UTALII CHA MATEMA BEACH...
Waziri mstaafu Profesa Mark Mwandosya akiwa ameamka alfajiri na mapema ili kufanya mazoezi na kuzunguka katika ziwa Nyasa hususan kwenye fukwe maarufu na mwanana za Matema wilayani Kyela mkoani Mbeya....
View ArticleMAKABURI 22 YA WATU WENYE UALBINO YAFUKULIWA TANZANIA...TAS YAMUOMBA JPM...
Na Kareny Masasy- Malunde1 blogInaelezwa kuwa tangu kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ualbino mwaka 2007 takribani makaburi 22 nchini Tanzania yamefukuliwa na watu wasiojulikana.Chama hicho kimeiomba...
View ArticleKAMATI YA BUNGE ARDHI MALIASILI NA MAZINGIRA YAKAGUA MRADI WA KUWEZESHA...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabulla Akifafanua namna Fomu ya Umiliki Ardhi inavyo tumika ili kupata taarifa za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya Kumiliki...
View ArticleZIWA JIPE NA BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU HATARINI KUTOWEKA
Na Lulu MussaMwanga - Kilimanjaro Imebainika kuwa Ziwa Jipe liko hatarini kutoweka endapo hatua za haraka hazitachukuliwa katika kulinusuru. Hayo yamesemwa na Waziri mwenye dhamana ya usimamizi wa...
View ArticleJUST IN: Maafisa sita wa Uhamiaji wapandishwa cheo kuwa Makamishna wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha cheo Maafisa sita wa Uhamiaji kuwa Makamishna wa Uhamiaji kuanzia tarehe 28 mwezi Februari mwaka 2017, Wakati...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: MWANAMKE ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AFANYE NINI KISHERIA.
Na Bashir YakubKutelekezwa ni pamoja na kunyimwa huduma za muhimu ambazo kama mke alistahili kupata. Huduma muhimu ni kama chakula, mavazi , makazi, matibabu, hela ya kujikimu...
View ArticleSPIKA JOB NDUGAI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA BUNGE ZA BAJETI NA NISHATI NA MADINI...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa muhtasari Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye ameongoza wajumbe...
View ArticlePROFESA MUHONGO ASAINI LESENI ZA MADINI
Na Veronica Simba – DodomaWaziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesaini leseni za madini kutoka kwa wawekezaji mbalimbali waliowasilisha maombi na kutimiza taratibu zote zinazotakiwa...
View ArticleKiongozi Mkuu wa Madhebu ya Bohora Duniani akamilisha ahadi ya kuleta...
Madaktari bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo . Katika...
View ArticleNAY WA MITEGO AACHIWA HURU
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, ambaye alikuwa amekamatwa na kushikiliwa na maafisa wa polisi nchini, kuhusiana na wimbo wake wenye jina la "Wapo",...
View ArticleSTARS KUSHUKA DIMBANI KESHO KUUMANA NA BURUNDI
Na Zainab Nyamka,Globu ya JamiiTimu ya Tanzania "Taifa Stars" inatarajiwa kushuka tena kesho Machi 28 katika mchezo wa pili wa kirafiki unaotarajiwa kuanza majira ya saa 10:00 jioni kumenyana na timu...
View ArticleAskari wanaodaiwa kuiba mafuta ya ndege na wenzao wapandishwa kizimbani
Askari wawili wanaodaiwa kuiba mafuta ya ndege ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na raia wengine wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kujibu tuhuma za kula...
View ArticleTIC YAINGIA MAKUBALIANO YA MRADI EAST AFRICA AND INVESTIMENT HUB
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) kimesaini makubaliano ya Mradi wa East Africa and Investiment Hub kwa ajili ya uchocheaji wa uwekezaji nchini.Akizungumza wakati wa...
View ArticleMAHAKAMA KUU TANGA YAWEKA MIKAKATI KUONDOSHA MASHAURI KWA WAKATI
Na Lydia Churi- Mahakama, Tanga.Mahakama Kuu Kanda ya Tanga inakusudia kuwanunulia Mahakimu wake 67 kompyuta Mpakato (Laptops) ili kurahisisha kazi zao na kuondosha mashauri kwa wakati katika Mahakama...
View ArticleMWANAHABARI GEORGE BINAGI WA LAKE FM MWANZA AUAGA UKAPERA
Jana March 26,2017 ilikuwa siku muhimu kwa mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwanablogu wa BMG, George Binagi wa Tarime Mara pamoja na Miss Upendo Kisaka wa Moshi Kilimanjaro baada ya kuuaga...
View ArticleZAO LA KOROSHO LINDI NA MTWARA LAKUMBWA NA UGONJWA WA MNYAUKO
Zao la korosho nchini lipo hatarini kuporomoka kufuatia kugundulika kwa ugonjwa mpya wa mnyauko wa mikorosho ambao umeua mikorosho zaidi ya elfu 40 hadi sasa katika mikoa ya LINDI na MTWARA. Fungua...
View Article