WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI 'WABESHI" WAMUOMBA RAIS MAGULI MAENEO YA KUCHIMBA...
Wachimbaji wa mchanga unaodhaniwa kuwa na madini ya almasi ‘Wabeshi’ wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameiomba serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais John Pombe Magufuli iwatengee eneo...
View ArticleMBWANA SAMATTA AIONGOZA TAIFA STARS KUPATA USHINDI WA BAO 2-0 DHIDI YA...
Timu ya Tanzania "Taifa Stars" imefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Timu ya Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo Jijini Dar es salaam.Mchezo huo uliochezwa leo...
View ArticleAICC yashauriwa kuwekeza Dodoma
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeushauri uongozi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kuelekeza nguvu ya uwekezji katika mji wa Dodoma ili kuziba kukidhi...
View ArticleJWTZ kuanza kulipa Deni la umeme wanalodaiwa na TANESCO
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kulipa deni wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO kuanzia...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YARIDHISHWA NA...
Kamati ya kudumu ya bunge Utawala na Serikali za Mitaa imetembelea mkoani Njombe na kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF,TAMISEMI, Mfuko wa Rais wa Kujitegemea...
View ArticleWAHI SASA KUJIANDIKISHA KUSHIRIKI KONGAMANO HILI KABAMBE!
Kuna ukomo wa nafasi. Jiandikishe sasa kupitia ukurasa huu, kwa kuchagua hapo chini kulia ' Going' au hata ' Maybe' kama huna hakika... Bofya https://www.facebook.com/events/250673922060000/ Au kwa...
View ArticleBalozi Seif atembelea Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa miundombinu ya...
Mkurugenzi Miradi wa Kamuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Miundombinu ya Ujenzi ya Garware ya Nchini India Bwana Deepak Menghnani kati kati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...
View ArticleNgoma Africa Band Yamtakia kila la Heri balozi Philip Marmo, Yamkaribisha...
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani imemtakia kila la heri balozi wa Tanzania nchini ujerumani anayemaliza muda wake...
View ArticleCHAMA CHA WATU WENYE UALBINO CHATOA ELIMU MASUALA YA UALBINO KANISA KUU LA...
Afisa Mahusiano na habari kutoka chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) Josephat Torner akitoa elimu kuhusu masuala ya ualbino katika kanisa la KKKT Usharika wa Ebenezer Kanisa Kuu Dayosisi ya...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA KWENYE...
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Msalala Simon Berege akimwongoza Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya siku ya Kifua kikuu duniani mkoa wa...
View ArticleUteuzi wa Makatibu wa CCM Mikoa
1 Arusha - Elias Mpanda2 Dar - Saad Kusilawe3 Dodoma - Jamila Yusuf4 Geita - Adam Ngalawa5 Iringa - Christopher Magala6. Kagera- Rahel Degeleke7. Katavi- Kajoro Vyahoroka8. Kigoma- Naomi Kapambala9....
View ArticleMASAUNI AHITIMISHA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI KWA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe. Seleman Mzee, wakati alipokuwa anawasili wilayani humo, Mkoa wa Mtwara kwa ajili...
View ArticleMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi awataka wafanyakazi kuzingatia utawala bora
Na Hussein Makame, NECMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Jaji (R) Semistocles Kaijage amewataka watumishi wa tume hiyo wazingatie maadili na kanuni za utawala bora ili kutekeleza kwa...
View Article