Mkurugenzi Miradi wa Kamuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Miundombinu ya Ujenzi ya Garware ya Nchini India Bwana Deepak Menghnani kati kati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Hoteli ya Kimataifa ya Eros Mjini New Delhi India. Kulia ni Balozi Seif na wa kwanza kutoka Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Kampuni ya Garware Bwana Jatindery V. Sehgal.
Mkurugenzi wa Miradi wa Kampuni ya Garware Bwana Deepak Mnghnani Kushoto akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyekaa kati kati na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Kampuni ya Gaware Bwana Jatindery V. Sehgal.
Balozi Seif Ali Iddi wa Pili kutoka Kulia akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Garware mara baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Hoteli ya Kimataifa ya Eros Mjini New Delhi India. Wa kwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Miradi wa Kampuni ya Garware Bwana Deepak Mnghnani na kulia ya Balozi Seif ni Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Kampuni ya Gaware Bwana Jatindery V. Sehgal pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania Nchini India Balozi Mohamed Hija Mohamed. Picha na OMPR Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA