UZINDUZI WA MICHUANO YA MPIRA WA MIGUU YA MAJIMBO YA CCM ZANZIBAR
Ā Vijana wa CCM Family wakipita kwa Ā maandamano wakati wa Ā Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti...
View ArticleHAFLA YA KUAPISHWA MAWAZIRI, MABALOZI, KATIBU MKUU NA KAMISHNA IKULU DAR ES...
Ā Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Ā Ikulu jijini...
View ArticleTANZANIA YAHUDHURIA MKUTANO WA 18 WA MWAKA WA BENKI YA DUNIA WA MASUALA YA...
Na Mboza Lwandiko, Wshington DCWizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Imeshiriki Mkutano wa mwaka wa 18 wa Benki ya Dunia unaohusu masuala ya Ardhi na Umaskini, Machi 20 ā 24, 2017 ā Washington...
View ArticleWaziri Mwakyembe Apokelewa na Wafanyakazi Wa Wizara Yake
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Annastazia James Wambura katika Ofisi za Idara ya Habari ā MAELEZO mala baada ya...
View ArticleWAZIRI MAKAMBA:RASIRILIMALI ZA NCHI ZITUNZWE KWA FAIDA YA SASA NA VIZAZI VIJAVYO
Akizungumza katika katika ziara yake mkoani Tanga iliyoingia siku ya tano Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. January Makamba amesema kuwa ni vema rasilimali za nchi hii zitunzwe kwa faida ya...
View ArticleMASAUNI AWATAKA WANANCHI WAISHIO MPAKANI MWA TANZANIA NA MSUMBIJI KUFUATA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) akimsikiliza Meneja wa Kiwanda cha Kuchakata Gesi Asilia Madimba wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), mkoani...
View ArticleDKT KEBWE AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAONESHO YA KILIMO
Na Mathias Canal, MorogoroMkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt Kebwe Stephen Kebwe ameongoza kikao cha Kamati kuu ya Tathmini na Maandalizi ya Maonesho ya Kilimo (Nane Nane) Kanda ya Mashariki inayounganisha...
View ArticleMPIGA CHAPA MKUU ASISITIZA KAMPUNI KUENDELEA KUJISAJILI
Leonce ZimbanduMPIGACHAPA Mkuu wa Serikali, Cassian Chibogoyo ameendelea kusisitiĀ za na kuzitaka taasisi za serikali, binafsi za uchapishaji Ā kuendelea kujisajili katika ofisi hiyo na kuepuka usumbufu...
View ArticleWAZIRI MBARAWA AKAGUA MIUNDOMBINU BUKOBA MKOANI KAGERA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na MawasilianoĀ Profesa Makame Mbarawa ameipa miezi miwiliĀ Kampuni ya Simu TanzaniaĀ (TTCL), kuhakikisha kuwa inapata Dola za Kimarekani milioni 50 ili kuongeza pato kwa...
View ArticleRC MAKALA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO...
Na Fadhili Atick Globu ya Jamii MbeyaĀ Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala amefanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi mtaa wa Shewa kata ya Mwakibete mkoani Mbeya,na kuwataka wananchi...
View ArticleNEWZ ALERT;SEHEMU YA KITUO CHA MAFUTA CHA GAPCO CHAPIGWA 'NYUNDO'.
Sehemu ya Kituo cha Mafuta cha Gapco kilichopo karibu na kamata jijini Dar ikibomolewa mapema leo kwa kuwa ndani ya eneo la reli.Zoezi hilo ambalo limeanza hivi karibuni linaendeshwa na kampuni ya reli...
View ArticlePAC YATEMBELEA MRADI WA NYUMBA ZA WATUMISHI BUNJU B ZILIZOJENGWA NA TBA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali Kuu na Mashirika ya Umma (PAC) imetembelea miradi ya ujenzi wa nyumbaza watumishi zilizojengwa na Wakala wa Majengo...
View ArticleWAZIRI MUHONGO AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akizinduzia Mradi wa umeme Vijijini Mkoa wa Singida. Uzinduzi huo umefanyika jana MachiĀ 24/2017 na kuhudhuriwa na wafadhili kutoka WB, EU, Norway na Denmark...
View ArticleMAKAMANDA WA POLISI KUKUTANA DODOMA KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UHALIFU
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi. MAOFISA Wakuu wa Jeshi la Polisi wanatarajia kukutana mkoani Dodoma kuanzia Jumatatu tarehe 27-29/03/2017 katika kikao kazi cha siku tatu kujadili na kupanga mikakati...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (mbele) akiongoza kikao kilichoshirikisha Balozi wa Ujerumani Nchini, Egon Kochanke na ujumbe...
View ArticleUONGOZI CHALINZE WAUJIA JUU UONGOZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete pamoja na madiwani wa halmashauri ya Chalinze ,wameujia juu uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Chalinze CHALIWASA kwa kushindwa...
View Article