RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA KUZUIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak ambaye aliongozana na Mshauri wa Uchumi wa...
View ArticleZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIA LEO MACH 24
Mkurugenzi kinga na elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdalla akitoa maelezo kwa wandishi wa habari na kumkaribisha Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said Suleiman katika mkutano wake...
View ArticleWatanzania kunufaika na gesi asilia
Benjamin Sawe-MaelezoSerikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mpaka kufikia mwaka 2020 litawawezesha watanzania kutumia gesi majumbani mwao hivyo kupelekea upungufu wa...
View ArticleMUWSA WATUMIA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KUOTESHA MITI KATIKA VYANZO VYAKE...
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakishusha miti tayari kwa ajili ya kuotesha kando ya vyanz vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.Kaimu...
View ArticleWafanyakazi wa Airtel kuitambulisha “Hatupimi Bando” Sokoni
Kufatia kuzinduliwa kwa ofa Kabambe ya Airtel ijulikanayo kama “Hatupimi Bando” ofa inayowapa wateja wake uhuru wa kuongea bila kikomo, wafanyakazi wa Airtel wamejipanga kuingia sokoni na kukutana na...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KAZI NZURI YA TPSC TAWI LA TANGA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa Mwaine Ismail Nchemba (Viti Maalum ) Tabora akifafanua jambo wakati kamati yake ilipozuru tawi la Chuo Cha Utumishi wa Umma...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM LEO.
Na Is-haka Omar, Zanzibar.MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, leo (jana) amekiongoza kikao cha Kamati Maalum ya...
View ArticleBALOZI KAIRUKI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Mbelwa Kairuki amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping tarehe 17 Machi 2017. Hafla hiyo...
View ArticleSPIKA WA BUNGE AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI TENDAJI YA CPA KANDA YA AFRIKA.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabunge Wanachama Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region ) Bw. Demetrius Mgalami akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kabla ya kuanza kwa Mkutano...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA IDARA YA HABARI MAELEZO MARA BAADA YA KUAPISHWA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe akisalimiana na Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura wakati alipowasili katika ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar...
View ArticleMalkia wa Tembo Afunguka Mahakamani
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Anayedaiwa kuwa Malkia wa Meno ya Tembo Yang Feng Clan (66), amesema kauli mbiu ya Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania ni hapa kazi tu lakini mbona Mahakamani...
View ArticleTAASISI YA MANJANO FOUNDATION KUWAWEZESHA WANAWAKE WA MTWARA KIUCHUMI
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa...
View ArticleBALOZI WA KOREA AKABIDHI MAKTABA YA KISASA KWA SERIKALI YA TANZANIA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiSerikali ya Korea kupitia mradi wa ''Thank you Small Ribray program'' leo imekabidhi Vifaa na kuzindua maktaba ndogo ya kisasa katika ofisi za makumbusho ya Taifa jijini...
View ArticleSERIKALI YASISITIZWA KUONGEZA MASUALA YA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA...
FORUMCC imeandaa mkutano na kukutanisha wadau kujadili namna ya kuongeza jitihada katika kuingiza masuala ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi katika mipango na bajeti ya serikali kuu na serikali...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AFUNGA MKUTANO WA 26 WA WANACHAMA WA MFUKO WA PPF JIJINI...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akitoa hotuba yake wakati akifunga Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF...
View ArticleDKT ABBAS: MAAFISA HABARI MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUTANGAZA...
Maafisa Habari na Mawasiliano katika Wizara, Taasisi, Idara na Mamlaka za Mikoa na Wilaya nchini wametakiwa kutangaza mafanikio ya miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea...
View ArticleALIYEKUWA MTENDAJI WA KATA YA BWANGA AFUNGWA JELA MIAKA MITATU (3) KWA KOSA...
Mahakama ya Wilaya ya Chato imemkuta na hatia Aliyekuwa Mtendaji wa kata ya Bwanga Bw. Protase Polycarp Kyakatamba Ambaye ameshitakiwa kwa makosa mawili ya Kuomba Rushwa ya kiasi cha Tshs. 300,000/=...
View ArticleNAIBU MEYA WA MANISPAA YA ILALA, OMARY KUMBILAMOTO ATEMBELEA OFISI ZA MICHUZI...
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Mstahiki Omary Kumbilamoto akisalimiana na Msimamizi wa Chumba cha Habari, Cathbert Kajuna wakati alipotembelea ofsi za Michuzi Media Group (MMG) mtaa wa Chimala...
View Article