Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa Mwaine Ismail Nchemba (Viti Maalum ) Tabora akifafanua jambo wakati kamati yake ilipozuru tawi la Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Tanga leo asubuhi.![]()
Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dk.Henry Mambo akifurahia jambo wakati wakiwasilisha taarifa kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa waliotembelea Chuo hicho tawi la Tanga leo asubuhi
Wanakwaya wa Chuo wakiimba wimbo maalum mbele ya wajumbe wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa, leo asubuhi chuoni hapo.
Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Tanga , Hassanal Issaya, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa Mwaine Ismail Nchemba (Viti Maalum ) Tabora baada ya ujumbe wa Kamati hiyo kuwasili tawini hapo eneo la Nkange Jijini Tanga. wa pili kushoto ni kushoto kwa Mkurugenzi huyo ni Mkuu wa TPSC Dk.Henry Mambo.