Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Mstahiki Omary Kumbilamoto, akisalimina na mwandishi mwandamizi na Msimamizi wa Habari za Mahakamani, Karama Kenyunko wakati alipofanya ziara katika ofisi za MMG.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mstahiki Omary Kumbilamoto akiwa ndani ya ofisi ya MMG.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Mstahiki Omary Kumbilamoto akifurahi jambo na Mwandishi Mwandamizi wa Michuzi Blog, Chalila Kibuda
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Mstahiki Omary Kumbilamoto, Akisalimiana na Mkurugenzi wa Michuzi TV, Karim Michuzi, wakati alipofanya ziara ya kutembelea chumba cha habari cha Michuzi Media Group ili kujionea jinsi wanavyofanya kazi.