Vijana wa CCM Family wakipita kwa maandamano wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein
Vijana wa CCM Jimbo la Jang'ombe wakipita kwa maandamano wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein
Vijana wa CCM Afisi Kuu Kisiwandui wakipita kwa maandamano wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo
Baadhi ya wanakamati ya maandalizi ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan uliofanyika leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa michuano hiyo. Picha na Ikulu.