Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak ambaye aliongozana na Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa Bi. Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak alipokuwa akifanya mazungumzo nae mapema leo , Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa Bi. Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam. alipokuwa akifanua jambo mapema leo , Ikulu jijini Dar es salaam.
Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK (katikati) akimtambulisha Mshauri wa Masuala ya Uchumi wa Ubalozi huo Bi. Beatrice Alperte (kushoto) kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK (kushoto) na Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa Bi. Beatrice Alperte (kulia), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)