Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Kampuni ya kuuza Ving’amuzi ya StarTimes Tanzania inatoa pakacha la pasaka kwa wateja wake ambapo kampuni hiyo imetangaza kuwa kuanzia tarehe 16 Machi 2017 wateja watakaojiunga na kifurushi cha kuanzia Mambo watapata ofa ya wiki moja ya kifurushi cha Uhuru.
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Maeneja Masoko wa StarTimes Tanzania, Felix Awino amesema kuwa wateja waliolipia watafurahia maudhui mazuri yatakayokidhi na kuburudisha familia msimu mzima wa pasaka.Ambapo ndani ya wiki nne (4) wiki moja ya kwanza mteja atafurahia kifurushi cha juu.![]()
Maeneja Masoko wa StarTimes Tanzania, Felix Awino akizungumza waandishi wa habari. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA