Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu,Uti wa Mgomgo na Vichwa maji Dr.Hosea Piquer akiongoza Ujumbe wa Wataalamu wa Upasuaji wa Kichwa na Uti wa mgongo walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu wa Upasuaji wa Kichwa na Uti wa mgongo mara walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo (wa pili kulia)Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Elimu inayohusiana na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu,Uti wa Mgomgo na Vichwa maji Dr.Hosea Piquer akiongoza Ujumbe huo. Picha na Ikulu.