Bonge la supermarket jipya lipo katika jengo la kituo kikuu cha daladala cha Makumbusho jijini Dar es salaam ambako utapata BIDHAA KIBAO kwa bei poa kabisaaa kama vile Mikate, keki, biscuit wanazopika wenyewe pamoja na vyakula vya kila aina vinapatikana hapo
Usipitwe...Fanya uwatembelee CHOPPIES ukajipatie vitu vingi kwa bei ya kiwandani na wapo wazi kuanzia saa 12:00 kamili asubuhi mpaka saa tatu usiku siku za Jumatatu mpaka Ijumaa.Siku za weekend wako wazi kuanzia saa 03:00 kamili asubuhi mpaka saa 3 usiku.
KARIBUNI SANA!