Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Mhe. James Ole Millya na mbunge wa viti maalum Zanzibar Mhe. Tauhida wakiwa kwenye mkutano wa 134 wa umoja wa mabunge duniani mjini Dhaka nchini Bangladesh, ambapo Tanzania iliwakilishwa na wabunge tisa na makatibu wawili
Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mkoani Simiyu Mhe. Andrew Chenge akiwaongoza wabunge tisa na makatibu wawili wa Bunge la Tanzania kwenye mkutano wa 134 wa umoja wa mabunge duniani mjini Dhaka nchini Bangladesh (wa pili kulia mstari wa nyuma) ni mbunge wa jimbo la Simanjiro, mkoani Manyara, James Ole Millya.