SIMBA ILIVYOINGIA GEITA NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE NA MASHABIKI WA MKOA HUO
MSAFARA wa Kikosi cha timu ya Simba kimewasili salama jana jioni mkoani Geita ambapo watakaa kwa muda wa siku tatu kabla ya kueleka Jijini Mwanza kwa mechi mbili za ligi kuu Vodacom.Simba waliotokea...
View ArticleBARABARA ZA ARUSHA KUKAMILIKA MWAKA HUU
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikaza nati katika daraja la Nduruma lenye urefu wa mita 60 linalojengwa katika barabara ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa KM 14.1...
View ArticleTRA YAKUSANYA TRILIONI 10.87 KWA KIPINDI CHA MIEZI TISA
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipakodi ,Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya mafanikio katika kukusanya kodi.Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMamlaka...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AAPISHWA KUWA MBUNGE
Spika wa bunge, Job Ndugai akimwapisha Mama Salma Kikwete kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Mama Salma Kikwete akiapa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017. Waziri Mkuu,...
View ArticleRWANDAIR KUANZISHA SAFARI ZA LONDON
Shirika la Ndege la RwandAir linataji kunzisha safari zake mara tatu kutokea Jijini Dar es Salaam kuelekea London Gatwick, kuanzia Mei 26, 2017 huku bei ikiwa ni kuanzia dola 200 bila gharama za...
View ArticleDENI LA TFF, SERENGETI BOYS WAPIGWA CHINI WAKIELEKEA KWA MAKAMU WA RAIS
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MAMALAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya Yono, wamelikamata basi la timu ya Taifa linalomikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) ambalo kwa sasa...
View ArticleKauli ya Zitto Kabwe juu ya uteuzi wa prof Kitila....
Uteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na UmwagiliajiLeo asubuhi Rais John Pombe Magufuli amemteua Mshauri wa Chama chetu Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji...
View ArticleDAR CITY YAICHAPA BOKO VETERANS BAO 3-2
Mchezaji wa timu ya Dar City, Shadrack Nsajigwa akiondoka na huku akisindikizwa na Mchezaji wa Timu Boko Veterans wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Boko Veterani mwishoni mwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAONESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI WANANCHI...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa atafungua maonesho ya Mifuko ya Uwezeshaji wananchi kiuchumi yatakayofanyika mkoani Dodoma katika viwanja vya mashujaa kuanzia tarehe 18-22 April 2017. Akizungumza na...
View ArticleMAMA SAMIA AWATAKA WAFARANSA KUENDELEA KUWEKEZA TANZANIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Tanzania ni Moja ya nchi salama kwa ajili ya uwekezaji barani Afrika kwa sababu haina matatizo ya migogoro...
View ArticleZANZIBAR FOOTBALL ASSOCIATION YAFANYA UCHAGUZI KUJAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha soka (ZFA) wilaya ya Magharibi A Unguja wamemchagua Haji Issa Kidali kuwa Mjumbe wa ZFA Taifa kufuatia uchaguzi mdogo uliofanyika April 4 mwaka huu kujaza nafasi...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TTCL INAONGOZA KWA KUTOA HUDUMA ZA INTANET BORA NA ZA UHAKIKA
Kwa sasa, juhudi za Rais Dkt. Magufuli kufufua huduma bora na za uhakika katika Mashirika na Makampuni ya Umma zinazidi kuleta Matokeo chanyA+ Kampuni Simu ya TANZANIA -TTCL ndiyo kampuni pekee...
View ArticleTAARIFA YA UTEUZI WA WAGOMBEA WA UJUMBE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
1. Tarehe 17 Machi, 2017 nilitoa Tangazo kwenye Gazeti la Serikali Namba 376 kuhusu Siku ya uteuzi na Siku ya Uchaguzi. Katika Tangazo hilo, nilipanga Siku ya tarehe 30 Machi, 2017, saa Kumi (10.00)...
View ArticleKauli ya Zitto Kabwe juu ya Uteuzi wa Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu...
Leo asubuhi Rais John Pombe Magufuli amemteua Mshauri wa Chama chetu Prof. Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kw mikono miwili taarifa...
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi atoa pole wananchi wa Kazole Kwagube walioathirika na...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwapa pole Wananchi wa Kijiji cha Kwagube Kazole walioathiriwa Nyumba zao kutokana na upepo mkali uliovuma Jumapili iliyopita. Balozi Seif akikabidhi...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AZINDUA KITUO KIPYA CHA UNUNUZI WA KARAFUU ZSTC...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe kuzindua Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Mgelema leo, Wilaya...
View ArticleBALOZI WA ISRAEL MHE. YAHEL VILAN ATEMBELEA IDARA YA URATIBU WA MAAFA OFISI...
Mwambata Jeshi wa Israel Barani Afrika Bw. Aviezer Segal akionesha michoro ya muundo wa Ofisi yake wakati wa ziara ya Balozi wa Israel Mhe. Yahel Vilan alipotembelea Idara ya Maafa ili kuangalia eneo...
View Article