Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Ruvuma ABEL SWAI awaasa...
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Ruvuma ABEL SWAI amewataka madereva pikipiki maarufu kama bodaboda kuvaa kofia ngumu katika kujinga na ajali za mara kwa mara wawapo barabarani kwa undani...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA WAZIRI WA MICHEZO WA ZANZIBAR MHE. RASHID ALI JUMA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Rashid Ali Juma akizungumza na waandishi juu ya Maendeleo ya Michezo ya Zanzibar kwa ujumla leo Jijini Dar es...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA SAFU YA MAKATIBU WAKUU,...
Prof. Kitila Mkumbo aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Aprili, 2017 amefanya mabadiliko...
View ArticleMVUA YATIBUA MIUNDOMBINU JIJINI JIJINI DAR ES SALAAM
Dereva wa bodaboda akikatiza dimbwi la maji lililopo katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Morogoro jijini Dar es salaam Basi la Mwendo kasi likiwa katika barabara ya Morogoro ambayo imejaa...
View ArticleCOUNTDOWN FOR THE PRESIDENT’S MANUFACTURER OF THE YEAR AWARDS
The President’s Manufacturer of the year (PMAYA) Awards scheduled to be held on April 08, 2017 at the Serena Hotel Dar es salaam. The President’s Manufacturer of the year Awards is an annual event that...
View ArticleNAIBU WAZIRI DKT. ANGELINE MABULLA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WILAYANI...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akikagua majalada katika masijala ya ofisi ya Ardhi, wilaya ya Kilombero – Morogoro. Walioambatana naye ni Kamishna wa...
View ArticleBIASHARA YA NDIZI KATIKATI YA JIJI
Mmoja wa Wachuuzi wa ndizi akiuza ndiz kwa mteja wake kama alivyokutwa na kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa katika eneo la Kisutu jijini Dar es SalaamDereva wa Guta akiwa na Msaidizi wake wakisukuma Guta...
View ArticleJOSE MARA AONGOZA MAPACHA BENDI KATIKA SHOO YA KUMUAGA KAMISHNA MSTAAFU WA BIMA
Kiongozi wa bendi ya Mapacha Bendi Jose Mara akiongoza safu wa uimbaji wa bendi hiyo katika shoo ya kumuaga Kamishna wa TIRA , Islael Kamuzora Mpiga Drum wa bendi hiyo , Computer Drama akifanya yake...
View ArticleKocha Mwingereza atua nchini kusaka vipaji vya kuogelea
UJIO wa Kocha Sue Purchase kutoka katika shule ya kimataifa ya Mtakatifu Felix Uingereza kusaka vipaji vya mchezo wa kuogelea kwenye mashindano ya taifa kutawanufaisha wachezaji watakaoonyesha uwezo....
View ArticleMISA-TAN YAWANOA WANAHABARI KANDA YA KASKAZINI JUU YA SHERIA MPYA YA HUDUMA...
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd, Jesse Kwayu akiwaongoza washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika...
View ArticleDkt. Kalemani amtaka Mkandarasi REA kuajiri wazalendo
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (wa pili kutoka kulia), akifunua kitambaa kilichofunika Jiwe la Msingi, kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini...
View ArticleWAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WA ISRAEL KUWEKEZA NCHINI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Israel waje nchini kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya kilimo.Ametoa kauli leo (Jumatano, Aprili 5, 2017) alipokutana na...
View ArticleWAFICHUENI WASIO NA SIFA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA UTAIFA - RC MASENZA
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza, amewataka wananchi Mkoani humo, kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA, ili kuwabaini watu ambao si raiya wa Tanzania na wanalengo la...
View ArticleMZAZI ASIYEPELEKA MTOTO WAKE SHULE HADI SASA KUKIONA - DC SANGA
Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga MKUU wa wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Filberto Sanga amewataka wazazi ambao watoto wao wamefaulu kuingia kidato cha kwanza kuwapeleka shule mara moja, na atakaebainika...
View ArticlePROFESA MUHONGO AZINDUA JUKWAA LA NISHATI TANZANIA
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akifungua mkutano wa wadau wa nishati ulioambatana na uzinduzi wa Jukwaa la Nishati Tanzania (TEP) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri...
View ArticleKESI YA MAUAJI YA DK. SENGONDO MVUNGI KUSIKILIZWA MAHAKAMA KUU, MASHAHIDI 30...
Na Karama KenyunkoJumla ya Mashahidi 30 wanatarajiwa kutoa ushahidi katika Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam kufuatia kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
View Article