Kiongozi wa bendi ya Mapacha Bendi Jose Mara akiongoza safu wa uimbaji wa bendi hiyo katika shoo ya kumuaga Kamishna wa TIRA , Islael Kamuzora
Mpiga Drum wa bendi hiyo , Computer Drama akifanya yake katika shoo hiyo
Mpiga Tumba wa bendi hiyo Njeki Mponda akipiga tumba katika shoo hiyo ya Mapacha Bendi
James Bezi akitumbuiza nadani ya ukumbi wa Serena Hotel
Erasto Mashine mpiga Kinanda wa bendi ya Mapacha Bendi akifanya yake katika shoo hiyo
Mpiga gitaa , Kombora Solo akionyesha ujuzi wake ndani ya Mapacha Bendi ilipofanya shoo ya kumuaga Islael Kamuzora.