$ 0 0 Mmoja wa Wachuuzi wa ndizi akiuza ndiz kwa mteja wake kama alivyokutwa na kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa katika eneo la Kisutu jijini Dar es SalaamDereva wa Guta akiwa na Msaidizi wake wakisukuma Guta lilisheheni ndizi kama walivyokutwa kandokando mwa barabara ya Morogoro