HALMASHAURI YA HANDENI YAZIPONGEZA SHULE KUMI ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA...
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni imepongeza na kutoa zawadi kwa shule kumi za Msingi na moja Sekondari kwa kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba na kidato cha nne mwaka 2016. Zawadi hizo...
View ArticleSERIKALI KUTEKELEZA MRADI WA MAJI CHALINZE
Serikali kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Benki ya Maendeleo ya Waarabu(BADEA),Washirka wa Maendeleo (DPS), na Serikali ya India kwa pamoja wametoa jumla ya Shillingi Billion...
View ArticleWabunge, wasomi waja juu Chadema kutoenzi demokrasia uchaguzi EALA
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na wasomi mbalimbali nchini wameeleza kushangazwa na chama cha upinzani nchini, Chadema, kushindwa kuenzi demokrasia na misingi ya haki kufuatia chama hicho...
View ArticleBenki ya EXIM yapata faida ya bilioni 83.6
BENKI ya Exim imepata faida ya Tsh bilioni 83.6 (kabla ya kodi) kwa mwaka wa fedha 2016 ikiwa imejumuisha faida ya Tsh bilioni 46.4 ya kuuza hisa ilizowekeza. Faida itokanayo na uendeshaji wa shughuli...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAKALA WA PEMBEJEO ZA KILIMO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mawakala wa pembejeo za kilimo kwenye ukumbi wa Spika, bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Arusha afanya mkutano watendaji wa Kata na Mitaa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na watendaji wa Kata na Mitaa(hawapo pichani) wakati wa Kikao kazi cha Ukusanyaji wa Kodi ya Majengo. Wajumbe wa Kikao wakifuatilia kikao kazi...
View ArticleTAFITI YA HAKI ELIMU YABAINI ELIMU BURE IMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiRais John Pombe Magufuli alipongia madarakani alitangaza elimu bure kwa shule za msingi na sekondari.Taasisi ya Haki Elimu ni moja ya taasisi ambayo imefanya utafiti...
View ArticleSERIKALI YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA ANGA
Serikali ya Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano (BASA), katika usafiri wa anga utakaowezesha nchi hizo kutoa huduma bora za anga na kufungua fursa za kibiashara kwa...
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO YAFANYA OPERESHENI MAALUM YA UKUSANYAJI MAPATO MANZESE
Kamati ya fedha na uongozi kwa kushirikiana na wakuu wa idara na timu ya ukusanyaji mapato halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wamefanya operesheni maalum ya kukagua leseni za biashara, leseni za vileo,...
View ArticlePROFESA MUHONGO AZINDUA JUKWAA LA NISHATI TANZANIA
Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo amesema nishati ya uhakika ya umeme itatokomeza umasikini nchini Tanzania ifikapo mwaka 2030.Profesa Muhongo aliyasema hayo alipokuwa akizindua...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,...
View ArticleTANZANIA YAPANDA HADI NAFASI YA 135, BRAZIL YASHIKA NAMBA MOJA DUNIANI
SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limetoa viwango bora vya soka duniani kwa nchi zote huku Brazil wakiwashika namba moja wakifuatiwa na Argentina na Ujerumani iliyoshika nafasi ya tatu.Katika viwango...
View ArticleNAIBU MEYA KUMBILAMOTO AUNGANA NA WANANCHI KUFUKIA SHIMO LILILOACHWA NA DAWASCO
Naibu Meya wa Manispa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akiwa amebeba toafali wakati wa zoezi la kufukia shimo katikati ya barabara ya Vingunguti kwa Mnyamani mara baada ya shimo hilo kutelekezwa na Dawasco...
View ArticleJSI WATOA ELIMU YA MALEZI KWA WATOTO WANAOISIHI MAZINGIRA MAGUMU WILAYA YA...
Wadau wa malezi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi (JSI) wametoa mafunzo ya mfumo jumuishi kwa watendaji na wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Mfumo huo...
View ArticleWateja wa ENGEN kupata ofa ya mafuta bure wakilipa kwa M-PESA
Wateja watakaojaza mafuta ya magari kuanzia shilingi 50,000 na kuendelea kwenye vituo vya mafuta vya kampuni ya ENGEN nchini kote kuanzia leo na kulipia kupitia huduma ya Lipa kwa M-Pesa ya Vodacom...
View ArticleCHANGIA SERENGETI BOYS KUPITIA AIRTEL MONEY
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Shirikisho la mMpira wa Miguu Nchini (TFF) limewaomba watanzania na wadau wa mpira kuichangia timu ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys ili kuiwezesha kuweka...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA UN WOMEN KWA KANDA YA MASHARIKI NA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini...
View ArticleNAIBU SPIKA AKUTANA NA CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA (TLS) MJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini...
View ArticleMICHUZI TV:RC MBEYA AFUNGUA KONGAMANO LA ELIMU MKOANI HUMO
- Wadau wa Elimu wapongeza na wamejitokeza kwa Wingi - Kongamano labainisha changamoto za elimu na mikakati ya kukabiliana Na changamoto zatajwa- Lengo la KONGAMANO ni kuongeza ufaulu na elimu bora...
View Article