KAMISHNA WA MAMLAKA YA MAPATO (TRA) ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA...
Baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoji kutoka kulia ni Naibu Kamishna Billy Mwakatage, Kaimu Kamishana Usalama dhidi ya moto Fikiri Salla, Mhasibu Mkuu Chakala, Kaimu Kamishna wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA OFISI YAKE KWA MWAKA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View ArticleSPIKA AKUTANA NA CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA (TLS) MJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini...
View ArticleRC MAKONDA APIGA MARUFUKU KUANZIA LEO UUZWAJI, USAMBAZAJI NA UONYESHAJI WA...
• ATOA SIKU 10 KWA YEYOTE ANAYEJIHUSISHA NA BIASHARA YA MOVIE, KUDOWNLOAD KAZI ZA WASANII KUACHA MARA MOJA• BAADA YA SIKU 10, OPARESHENI KUBWA KUANZISHWA JIJI ZIMA KUWABAINI WOTE WANAOFANYA BIASHARA...
View ArticleSERIKALI YAUNGANISHA SHULE 417 KWENYE MTANDAO WA INTANETI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya Viettel ya Vietnam inatekeleza mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano vijijini ambao umefanikisha kuweka miundombinu...
View ArticleUWT YAWAPONGEZA WABUNGE KWA UCHAGUZI, YALAANI KAULI ZA MHE MBOWE
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unatoa pongezi kwa Wabunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia, kikatiba na kikanuni kufanikisha...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA ARUMERU AHOJIWA NA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Alexander Mnyeti akihojiwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge baada ya kuitikia wito wa kamati hiyo, Bungeni mjini Dodoma leo, kujibu tuhuma...
View ArticlePROF. MBARAWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI BARABARA DODOMA-BABATI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya Dodoma-Babati yenye urefu wa kilometa 188.15 ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami na...
View ArticleMREJESHO WA UTAFITI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO MKOANI NJOMBE,UNICEF WAANZA...
Muhadhiri wa chuo kikuu cha Afya na Tiba Muhimbili,Profesa Projestine Muganyizi akifafanua jambo mbele ya wadau na watafiti mbalimbali wa Afya,alipokuwa akitoa mrejesho wa utafiti walioufanya mkoani...
View ArticleMUHIMBILI YAWAJENGEA UWEZO MADAKTARI WA HOSPITALI BINAFSI NA UMMA NCHINI...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imendelea kuwajengea uwezo madaktari wa ndani na nje ya hospitali kwa kufanya upasuaji wa njia ya matundu madogo (laparoscopic surgery).Miongoni mwa madaktari...
View ArticleMD KAYOMBO AKABIDHIWA MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI MSAKUZI
Na Nasri Bakari, Dar es salaamMkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo amekabidhiwa madarasa matatu yaliyokamilika na mkandarasi katika shule ya msingi Msakuzi.Makabidhiano ya madarasa...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WALIMU WA MIKOA YA PEMBA
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika...
View ArticleMDAHALO KUHUSU NAFASI YA DIASPORA KATIKA UCHUMI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Na: Nuru Juma & Husna Saidi – MAELEZOWATANZANIA waalikwa kushiriki katika mdahalo baina ya Diaspora na wenzao waishio nchini ili kujadili nafasi ya Diaspora katika uchumi wa nchi, unaotarajiwa...
View ArticleSir Jayantilal Keshavji "Andy" Chande KBE a.k.a Andy Chande passes on
Sir Jayantilal Keshavji "Andy" Chande KBE a.k.a Andy Chande (born 7th of May, 1928) who was a prominent Tanzanian businessman, philanthropist and a freemason, has passed away at the Aga Khan...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA, BALOZI WA ISRAEL...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Mhe. Roeland Van de Geer alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo April 6, 2017. Rais...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI-DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizukumza na Makatibu Wakuu wa Ofisi yake nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuhairishwa kwa...
View ArticleMAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAZIDI KUIVA UWANJA WA UHURU,PIA KUFANYIKA...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Kinondoni,jijini Dar es salaam kuhusiana na maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa...
View Article