WADAU WAOMBA MIUNDOMBINU STENDI YA MABASI MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Dotto MwaibaleWATUMIAJI wa Stendi ya Mabasi ya Mbagala Rangitatu jijini Dar es Salaam wameiomba Manispaa ya Temeke kuboresha miundombinu ya stendi hiyo katika kipindi hiki cha mvua ili kuondoa adha...
View ArticleNCHAMBI: WANANCHI MUWE KICHOCHEO CHA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Nchambi amewataka wananchi kuwa kichocheo cha miradi ya maendeleo katika maeneo yao bila kujali msingi ya tofauti zao.Nchambi alisema hayo jana...
View ArticleKIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KIBADA, DAR ES SALAAM
Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushotoMwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADAUkubwa wa Kiwanja ni Mita za...
View ArticleKOCHA WA MAJI MAJI ASEMA MCHEZO WA WAO NA AFRIKA LYION JUMAMOSI UTAKUWA MGUMU...
Timu ya majimaji imeendelea kufanya mazoezi ya kufa mtu katika uwanja wa Majimaji kujiwinda na Afrika Lyion huku Kocha msidizi wa Majimaji Habibu Kondo asema mchezo wao wa jumamosi utakuwa mgumu sana.
View ArticleDC KASESELA AWATAKA WANANCHI KUACHANA NA IMANI ZA KISHIRIKINA
Na Fredy Mgunda,IringaMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amewataka wananchi wa wilaya ya iringa kuacha tabia ya kuamini na kujihusisha na maswala ya imani za kishikina pamoja na kujichukulia...
View ArticleRC GAMBO:WANANCHI LIPENI KODI ZA MAJENGO ILI KUONDOA USUMBUFU UNAOWEZA...
Na.Vero Ignatus .Arusha Wananchi wametakiwa kulipa kodi ya majengo ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza baadae kutokana na Sera ya serikali inayisema kila mwananchi inayomraka takiwa kulipa kodi...
View ArticleMBUNGE WA BUSEGA RAPHAEL CHEGENI AFANIKISHA UJENZI WA BWENI LA WASICHANA...
Mbunge wa Jimbo la Busega, Mkoani Simiyu, Dk Raphael Chegeni ambaye kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu wa ndani na nje ya nchi amefanikiwa kujenga bweni moja la wasichana katika Sekondari ya...
View ArticleMENEJIMENTI YA TMA YANOLEWA KATIKA KUTEKELEZA SERA NA MIKAKATI YA SERIKALI YA...
Katika jitihada za kuhakikisha TMA inashiriki kikamilifu katika kuongeza pato la Taifa, Mamlaka iliandaa mafunzo ya siku tano ambayo yalikuwa yana lengo la kutoa uelewa wa sheria, kanuni na taratibu za...
View ArticleWizara yaipongeza Muhimbili kwa kuandaa Mafunzo Hospitali Binafsi na Umma
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeipongeze Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuendesha warsha ya siku tatu kuhusu upasuaji wa matundu madogo (laparoscopic surgery) kwa...
View ArticleMICHUZI TV: MISS TANZANIA DIANA EDWARD AKAMILISHIWA ZAWADI ZAKE
Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa (kulia) akimkabidhi fedha taslim kiasi cha Sh. Milioni mbili (2Mil.), Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 - 17, Diana Edward ikiwa ni...
View ArticleTwelve Local Engineers from Tanesco Attends Pietro Fiorentini 2-week Training...
A team of twelve Local Engineers from Tanesco have concluded a 2-week Training with Pietro Fiorentini in Italy and HungaryIn an effort to address the shortage of skills and experience in the Energy...
View ArticleTIC NA CHINA AFRICA INDUSTRIAL FORUM WAWEKEANA SAINI MAKUBALINO YA KUSHIRIKIANA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (kushoto) akisaini mkataba na Naibu Mkurugenzi wa Kampeni ya China Industrial Forum, Wang Xiangncheng ikiwa ni...
View ArticleDKT. SHEIN AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA HITMA YA RAIS WA KWANZA WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya...
View Article