Picha ya pamoja ya wajumbe wa Tanzania na Uganda ambao nchi zao zimetakiwa kushirikiana kwa pamoja kutumia rasilimali walizonazo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa pande zote mbili katika Kikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya nchi hizo mbili. Taarifa kamili BOFYA HAPA
↧