MV KAZI YASHUSHWA MAJINI
Kivuko cha MV KAZI kikielea majini baada ya kushushwa kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi. Kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA AFYA WA KENYA KUHUSU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya...
View ArticleSIMU TV: YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO
Kwa taarifa zaidi BOFYA HAPA
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA MOURITIUS KUMWAKILISHA JPM...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwenda Port Louis,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU NCHI NA SERIKALI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika...
View ArticleWASHINDI MICHUANO YA GOFU YA BRITAM WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Zaidi ya wachezaji 100 walishiriki michuano hiyo ya gofu ya Britam huku Adam Ngamilo akiibuka mshindi wa jumla baada ya kupata pointi 39 katika mashimo 18 aliyocheza katika klabu ya Gymkhana Dar es...
View ArticleTANZANITE ONE WATOA MILIONI 20 KWA SACCOS YA MADALALI WANAWAKE WA MADINI ARUSHA
ANDREA NGOBOLE, PMT Kampuni ya Tanzanite One, imetoa msaada wa Sh 20 milioni kwa chama cha Madalali wanawake,wanaouza madini ya Tanzanite mkoani Arusha .Wakurugenzi wa kampuni hiyo, inayomilikiwa kwa...
View Articlemgogoro wa ardhi wa mipaka uliodumu kwa takribani miaka 33 watatuliwa...
MKUU wa Wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu (mwenye miwani) amefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi wa mipaka uliodumu kwa takribani miaka 33 sasa kati ya wananchi,kituo cha kufundishia wanyama kazi(OTC) na...
View ArticleMEYA WA JIJI LA DAR KUCHANGIA MABATI NA MIFUKO YA SARUJI 100 UJENZI WA...
MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameahidi kuchangia mifuko 100 ya Saruji pamoja na Mabati 100 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Maweni iliyopo Kata ya Mjimwema wilayani Kigamboni. Shule...
View ArticleBalozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Amvisha Cheo Kanali wa JWTZ
Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali.Hafla hiyo...
View ArticleWAKAZI WA MJI WA KIBAHA WATAKIWA KUTUNZA MIUNDOMBINU YA MIRADI YA MAJI
Na Mwamvua Mwinyi,KibahaMHANDISI wa maji katika halmashauri ya Mji wa Kibaha,Grace Lyimo,amewataka wakazi wa mji huo kulinda na kuitunza miundombinu na mifumo ya miradi mbalimbali ya maji safi kwani...
View ArticleMAKADA WA CCM WACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UBUNGE, BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI.
Katibu Msaidizi Idara ya Organizeshen CCM Ofisi ndogo Dar es Salaam, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kugombea nafasi ya Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Daktari Bingwa wa...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TANGA AENDELEA KUTATUA KERO ZA WANANCHI JIMBONI...
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akiendeseha baiskeli hiyo kabla ya kumkabidhi mkazi wa Makorora Mbwana Hamisi leo kwa ajili ya matumizi yake kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa...
View ArticleUSIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA
Ijumaa March 17, 2017 kuamkia ilikuwa ni siku muhimu kwa Malikia wa nguvu, Pendo Kisaka, ambapo ndugu, jamaa na marafiki zake walijumuika naye kwenye Sendoff yake kuelekea kwenye ndoa anayotarajiwa...
View ArticleMAULID YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) YAFANA SEGEREA MWISHO, DAR ES SALAAM
Siku ya jumamosi ya 11 Machi 2017 katika viwanja vya Madrasat Rahman iliyopo Segerea Mwisho jijini Dar-es-salaam palikuwa hapatoshi kwa mkusanyiko wa waumini wa dini ya Kiislam waliokusanyika katika...
View ArticleWAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGUA KITUO CHA AFYA NUNGWI
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Dk,Ameesh Mehta mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Hospitali ya Dk,MEHTA(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Waziri wa...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI MAURITIUS KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili nchini Mauritius leo (Jumapili, Machi 19, 2017) kwa ajili ya kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa kuzindua Jukwaa la Uchumi Barani...
View Article